JAYDEE Apanga kununua ndege (aeroplane)

GAMBLER

JF-Expert Member
Nov 22, 2009
303
11
DSC01277.JPG

Siku moja MUNGU akipenda nitakuwa na ndege yangu labda, na hapo kwenye ki kadi kama hiki patakuwa pameandikwa MACHOZI AIR na sio Barrick Tanzania.

DSC01271.JPG

Jamani hii ndege ni ya Barrick ilitumwa kutuchukua kutoka Dar Jumamosi asubuhi kutupeleka Tulawaka na ikaturudisha tena Dar Jumapili asubuhi kuwahi Sanya Sanya ya Thai Village.

Mnaona mambo hayo?? Sio kwamba kulikuwa na abiria wengine nooo!
Si mnaona siti ziko tupu, manake Machozi Band plus dancers na Manager Captain ni watu 17 tu.
 
Asifanye mchezo, huyu, hataweza...Ndege si kama Machozi Band, ambayo unaweza kuiendesha kwa kuwakopa wapigaji..huh!

Lau angejua gharama ambazo ndege inakula asingetamka hilo, labda kwa kujifurahisha tu.
 
huyu jaydee vipi? mara aseme yeye ni bora kupita whitney houston, mara ee, ameenda shule huyu??
 
Lakini wakuu shida iko wapi? kila kitu ni malengo, kwani hao wenye kumiliki ma G500 waliziokota si walinunua? kama wao waliweza kwa nini yeye asiweze? waswahili bwana binti wa watu anajitahidi sana kwa nini msimsifie kwani ndege kitu gani bwana, aah mkatae mkubali huyu binti yuko juu na tunamuombea mafanikio zaidi ya hapo alipofika, Jide kaza buti mama utaweza kununua hata boeing sembuse Dash 8, kila kitu bidii usiwaangalie mahaters
 
Well said Naniliu, hakuna kinachoshindikana mbele ya pesa na malengo akiweka malengo atafanikiwa tu.
 
hii post kaiweka Gadner? sioni mantiki yoyote au mlitaka tujue jinsi mlivyopanda ndege ya hao wezi wa madini yetu??????????
 
Lakini wakuu shida iko wapi? kila kitu ni malengo, kwani hao wenye kumiliki ma G500 waliziokota si walinunua? kama wao waliweza kwa nini yeye asiweze? waswahili bwana binti wa watu anajitahidi sana kwa nini msimsifie kwani ndege kitu gani bwana, aah mkatae mkubali huyu binti yuko juu na tunamuombea mafanikio zaidi ya hapo alipofika, Jide kaza buti mama utaweza kununua hata boeing sembuse Dash 8, kila kitu bidii usiwaangalie mahaters
hapa imewekwa mada, kama una maoni yenye maana, weka sasa wewe unatuita haters! what u mean? hapa tz tunategemea kiwanja kimoja tu, na hicho hakina std za zikamataifa, na ndio utaona baadhi ya mashirika hayaleti ndege zake hapa,kama marekani, kanada .. mpaka hapo utakuwa umeelewa....
 
Hapo hakuna mada ni uzushi mtupu, IF WISHES WERE HORSES EVERY ONE COULD RIDE. hizo ni wishes zake kila mtu ana za kwake whether ni DAY DREAMING or whatever, wewe umefanya research wapi mpaka ukayajua hayo ya uwanja wa ndege?? standard zipi hatumeet????? JAYDE ni international airline mpaka aangukie kwenye hizo sababu za wacanada??????
 
Asifanye mchezo, huyu, hataweza...Ndege si kama Machozi Band, ambayo unaweza kuiendesha kwa kuwakopa wapigaji..huh!

Lau angejua gharama ambazo ndege inakula asingetamka hilo, labda kwa kujifurahisha tu.

huyu jaydee vipi? mara aseme yeye ni bora kupita whitney houston, mara ee, ameenda shule huyu??

Form Four Zanaki

Mdomo mali yake..
wacha autumie ipasavyo

hapa imewekwa mada, kama una maoni yenye maana, weka sasa wewe unatuita haters! what u mean? hapa tz tunategemea kiwanja kimoja tu, na hicho hakina std za zikamataifa, na ndio utaona baadhi ya mashirika hayaleti ndege zake hapa,kama marekani, kanada .. mpaka hapo utakuwa umeelewa....

Hivyo ndio kuchangia mada? na mambo ya kiwanja yamekujaje hapa? au amekwambia anataka kununua concorde?
 
1949 Cessna 170A $8,900 0 IN N9892A 7595

1950 Cessna 170A $35,000 4050 IL

1951 Cessna 170A $27,500 4228 AZ

1951 Cessna 170A $53,000 3734 AK N1787D 20230

1956 Cessna 170A $45,000 3315 CA

1953 Cessna 170B $35,000 2794 WA

1956 Cessna 172 $36,900 4190 TX N5768A 28368

1956 Cessna 172 $24,000 2400 MT N6029A 28629

1956 Cessna 172 $30,000 3210 KS N6635A 28735

1957 Cessna 172 $26,500 2230 FL N7974B 29774

1958 Cessna 172 $29,000 4380 MO

1976 Cessna 172 $45,000 1664 RI N236C 17266985

1999 Cessna 172 SP $134,900
 
dsc01277.jpg

siku moja mungu akipenda nitakuwa na ndege yangu labda, na hapo kwenye ki kadi kama hiki patakuwa pameandikwa machozi air na sio barrick tanzania.

dsc01271.jpg

jamani hii ndege ni ya barrick ilitumwa kutuchukua kutoka dar jumamosi asubuhi kutupeleka tulawaka na ikaturudisha tena dar jumapili asubuhi kuwahi sanya sanya ya thai village.

mnaona mambo hayo?? Sio kwamba kulikuwa na abiria wengine nooo!
si mnaona siti ziko tupu, manake machozi band plus dancers na manager captain ni watu 17 tu.
katika hao 17, wewe ni nani........??? Mcheza shoo, mpiga drams, mpiga tumba au............... Geti mani...???
 
Wakuu mbona kama inakuwa ni kijiwe cha majungu tena
Kwanza dada wa watu aliweka hiyo habari kwenye blog yake kwa manufaa yake na wapenzi wake imekuwaje imekuja hapa na majungu meeeeeengiiiiiiii.lol!!!!!!!!
Pili kwani yeye kununua ndege au kuwa na malengo ya kununua ndege tatizo liko wapi???mbona watu wanaweka malengo ya kununua magari ya kifahari au nyumba za kifahari hamuwasemi???
Guys, tujue ni nini tunajadili mda mwingine sio ilimradi tu....
 
Come what may, huyu dada hatafikia huko...hivi vitu vingine wala si vya kukwepesha!...labda apewe na mzungu, ambapo nayo hatadumu nayo hata mwaka, maana atatamani kuuza watoto (kama anao).

Iam talking through long xperience, sijawahi kuongea naye, so i dont hate her in any way.
Kama ana hela za hivyo na anunue ma'vogue hata 10, not a ndege-stuff... Ni mtazamo tu!
 
heheheheheeh
haahahahah
bah bah bah bah

hata chizi huota ndoto pia
 
jamani anaweza bei zake akikaza sanaa....na kupagawa anaaweza....What is the price of a used DASH 8 100 aircraft?

Approximately 6.5M-8M dollars

What is the price of a used DASH 8 100 aircraft?

Approximately 6.5M-8M dollars

anaweza..............awe na lengo na saving kufa mtu.........
 
Back
Top Bottom