Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Singer and fashion icon switches up her look and transforms into some kind of goddess in new dramatic photos for German fashion magazine, Tush. The Bajan beauty rocks a long gray wig, frosted...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Millard katubagua wale wote wapenzi wa Kilimanjaro Music Tour kwa kutoleta news zake on air tofauti na Serengeti Fiesta ambapo hupamba kwa habari kibao hata kabla ya tukio lakini hii ya kili music...
1 Reactions
46 Replies
9K Views
Ghanaian movie star Majid Michel must be gearing to stir up the movie scenes in Nigeria and Ghana soon with his recent comment on popular Nollywood actress Genevieve Nnaji. Although he is...
0 Reactions
61 Replies
10K Views
Mahakama:Pistorius hakukusudia kuua Jaji anayetoa uamuzi katika kesi ya mauaji inayomkabili Oscar Pistorius, amesema upande wa mashitaka umekosa kuthibitishia kikamilifu shitaka kuu la kwanza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Channel O wametangaza majina ya wasanii watakaowania tuzo za CHOAMVA mwaka huu. Diamond ametajwa kuwania vipengele vinne ambavyo ni pamoja na MOST GIFTEDVIDEO OF THE YEAR, MOST GIFTEDNEWCOMER...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Wadau mbalimbali wa muziki hapa nchini, wote kwa pamoja wamesema kuwa Prof Jay ndie msanii aliyeweza kukaa kwenye gemu muda mrefu hapa nchini kwasababu ya VVU. kirefu cha neno VVU- Vina Vya Ukweli
1 Reactions
35 Replies
10K Views
Hawa ni waimbaji maarufu duniani walioana hivi karibuni (Beyonce born 1980, Jay Z born 1969). Age is nothing but a number kama wanavyodai wao. Inadaiwa kuwa Beyonce alikuwa na ujauzito wa bandia...
0 Reactions
89 Replies
14K Views
KW/RB /8441 /2014 imemshikilia Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania , Hashimu Lundenga kwa madai ya kuzichapa na Miss Tanga 1997 , Mona Faraja ambaye pia ni mke wake na kumsababishia majeraha...
1 Reactions
45 Replies
8K Views
Hii imetokea kwa mwanasiasa machachari na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Mh. Zitto Kabwe baada ya kutokea sintofahamu kati yake na mpenzi wake Diva. Zitto alitoa kauli ya kukana kuwa na mahusiano ya...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Siku ya leo mwanamuziki nguli wa Bongo fleva , Diamond Platnumz yupo nchini Africa Kusini akishoot kipindi na Televisheni ya MTVBase ya nchini humo. Bado haikuweza kujulikana kipindi hicho...
0 Reactions
30 Replies
8K Views
Jipya! Baada ya kimya cha muda mrefu, imefichuka kwamba kesi ya kuuawa kwa aliyekuwa staa mkubwa wa sinema za Kibongo, marehemu Steven Charles Kanumba ' The Great' imechukua sura mpya baada...
0 Reactions
71 Replies
11K Views
Inside Late Comedian Joan Rivers Luxury New York Apartment Camera's have been allowed to capture the extremely luxurious home of late comedian Joan Rivers. The limestone mansion which was...
4 Reactions
10 Replies
3K Views
Sherehe ya kicheni pati ya staa wa filamu Bongo, Lucy Komba imewashangaza waalikwa wengi baada ya kutawaliwa na vitu vingi vya kiasili tofauti na matarajio ya wengi. Sherehe hiyo ilifanyika...
2 Reactions
63 Replies
30K Views
Nimeshangaa sana leo kwenye friday night live kumuona baghdad kuwa mwembamba sana kubadilika toka unene wa Sean Kingston.
0 Reactions
44 Replies
16K Views
Nafahamu ni mambo ya mtu binafsi ila kwa interval ya umri kwa kweli nimeshangaa. Dabota yupo na age ya 20+ wakati Prince Sunny Aku yupo na age ya 60+. Ukweli ni mtu na mwanae Wadada embu...
2 Reactions
58 Replies
8K Views
ALMOST I LOSE IT COVER_-Abby Jewel
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Once again, Nollywood drama queen, Mercy Johnson has declared her love for star actress, Genevieve Nnaji, whom she says is her role model. Speaking with City People magazine, Mercy Johnson said...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani sikilizeni hivi vitu vya wasanii wa Tanzania maana nimecheka lugha zinazoongelewa mhm kwanini tusizungumze Kiswahili kama kingereza hatukiwezi?? Tanzama weka nawewe mawazo yako!!TAKE ONE...
0 Reactions
35 Replies
16K Views
STAA wa muziki wa Bongo Fleva , Meninah Abdulkareem ' Meninah' amefunguka juu ya tetesi zinazoenea kuwa na uhusiano wa chinichini na Nasib Abdul ' Diamond ' kwa kusema kuwa siyo levo...
0 Reactions
39 Replies
9K Views
Back
Top Bottom