Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Host wa Program ya Take One kupitia CloudsTV , Zamaradi Mketema ametangaza nia yake kuwa anataka kuasili mtoto ili kutimiza ndoto yake aliyokuwa nayo tangu akiwa mwanafunzi . Host wa Program ya...
1 Reactions
73 Replies
10K Views
Lupita Nyong'o is not new to Magazine covers but she does bring something new to every cover she graces. Won an Oscar, named the most beautiful Person in the year 2014, Joined the cast of Star...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
JAMBO limezua jambo Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson amemvaa prizenta wa Kipindi cha Ala za Roho cha Redio Clouds FM, Lovennes Malinzi ' Diva ' kwa madai kwamba amemtangaza...
2 Reactions
25 Replies
11K Views
PROMOTER BRITTS EVENTS WAFUNGUKA JUU YA KASHAFA NZITO YA KUHARIBU SHOO YA DIAMOND NCHINI UJERUMANI Posted by william Malecela on Tuesday, September 02, 2014 Awin Williams...
5 Reactions
56 Replies
7K Views
MAHABATi! Beautiful Onyinye wa Bongo, Wema Sepetu ‘ Madam’ amedhihirisha kuwa yeye ni mwanamke tayari wa kuwekwa ndani baada ya kusema anajitahidi kila siku katika suala la mapishi ili asimlishe...
0 Reactions
64 Replies
10K Views
Wakuu,hamuwezi kuamini,nitakavyoanza kuwapa kisa cha kweli kuanzia kesho,kinachomhusu mcheza basketball wa zamani wa USA,najua wengi mtavutiwa na kisa hiki ambacho ni cha kweli na cha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF, naomba kuuliza hivii.. mtangazaji wa Clouds FM Dr. Issack Maro anayeendesha kipindi cha njia panda, ametozwa faini kiasi gani na hivi analipa yeye mwenyewe au inalipwa na...
0 Reactions
20 Replies
11K Views
Jamani eti jay dee na gadina wameachana?????????
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Batuli Kwa mara nyingine , staa wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘ Batuli ’ amemwaga data za kimapenzi akidai hajawahi kumpendamwanaume kama alivyompenda NiceMohammed ‘ Mtunis ’ .Staa wa...
0 Reactions
32 Replies
13K Views
Manager wako juzi juzi tuu hapa katangaza kuwa mna pata zaidi ya $15,000/= kila show. Iweje leo ushindwe kuingia ukumbini kwa muda muafaka kisa hujamaliziwa €250? Haya sasa wamekupa ban...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Uliza kuhusu msanii yeyote kwamba yupo wapi na na anafanya nini,haijalishi wa mziki au movie za bongo
0 Reactions
42 Replies
22K Views
Mwanamziki wa kitanzania aitwaye Juma Mpolopoto maarufu kwa jina la Jux amesema kuwa baadhi ya mashabiki wamekuwa wakimdhania tofauti na alivyo huku wakidhani kuwa anaimba mziki kwa ajili ya...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
STAA wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford amefunguka kuwa hana rafiki yeyote maarufu ndani ya Bongo Movies. Akizungumza na paparazi wetu, Shamsa alisema kuwa tangu huko nyuma alishawafuta marafiki...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
AMA kweli fedha mwanaharamu ! Kama bado ulikuwa ukiamini kwamba Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu anayependelea kuitwa Madam ana mtonyo ( fedha) kumzidi aliyekuwa shosti wake, mwigizaji Kajala...
2 Reactions
78 Replies
20K Views
Mtunisi YOBNESH Yusuph ' Batuli' anayekimbiza kunako soko la Bongo Movies , amefunguka kuwa hataki kusikia habari za aliyekuwa mpenzi wake aliye pia msanii mwenzake, Mtunisi kwani mapenzi...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Mwigizaji na Mwanamuziki Maarufu Bongo Shilole Amesema Kwake Matumizi ya Condom huwa yanamyima raha ya Mapenzi Hivyo alilazimika kwenda kupima ngoma na mpenzi wake ili wasitumie mipira. Shilole...
0 Reactions
12 Replies
11K Views
Msanii lady Jaydee amechaguliwa kuwa balozi wa uzazi wa mpango Tanzania. Chanzo:taarifa ya habari
2 Reactions
83 Replies
9K Views
Mtalaka wa msanii mkongwe wa filamu Nuru Nassoro ' Nora', Luqman Nassoro amesema anasaka wasichana warembo na muonekano mzuri kuanzia sura hadi shepu kwa ajili ya kufanya nao kazi. Msanii...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
WanaJF nimemsikia aliyekuwa Mtangazaji wa TBC Joseph Msami kwenye kipindi cha Mkasi EATV akidai kuwa ndiye aliyempokea Millard na kumfundisha kazi enzi hizo wapo Radio ila kilio chake kwake kila...
0 Reactions
53 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…