Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Umaarufu wa Ali Kiba unaishia Kibaha huku mikoani watu hawamjui kabisa.. Mikoani Diamond ni maarufu kupita wanamuziki wote wa Tanzania kwa sasa.. Wivu wa mafanikio ya Diamond unawatesa sana vijana...
5 Reactions
57 Replies
6K Views
Akiongea na 255 ya XXL kupitia Clouds fm Diamond amesema yupo tayari kumsaidia collabo Ali Kiba. Aliulizwa je yupo tayari kufanya kazi na Kiba pamoja na tofauti zinazozungumzwa kati yao...
2 Reactions
93 Replies
18K Views
baada ya kuwasili kutoka kigoma
0 Reactions
43 Replies
9K Views
Nadhani Hili jina si Geni Kwa Wadau Wa Muziku kuanzia miaka Ya 2001 mpaka 2005.. Tafandhari ndugu wanaJf mwenye Nyimbo za Huyu Dada Naomba atuwekee hapa maana Nimetafuta mpaka jasho limenitoka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani kwa waliokuwa Fiesta watakubaliana na hili. Sasa hivi hawa jamaa mambo hadharani kweupe, kitu full affection. Dah hongera kwa kujichukulia katoto kazuriii, kweli usanii unasaidia kupata...
0 Reactions
69 Replies
14K Views
Dar es Salaam. Kashfa imemwandama Miss Tanzania 2014, Sitti Mtevu baada ya vielelezo mbalimbali kuonyesha kuwa ameghushi umri. Sitti katika fomu zake alijaza ana...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nimefuatilia kwa karibu tamasha la fiesta jana kuna jambo kubwa nimejifunza na sii vibaya nikamshauri huyu bwana mdogo Diamond kuwa marafiki wanakuwa karibu pindi mziki wako unapokuwa juu, wakijua...
3 Reactions
31 Replies
7K Views
It's time for T.I to dust off his acting skills. For those of you who don't know, T.I will star in Marvel Studios' new super hero movie, "Ant-Man"! Although the rapper cannot disclose which...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni ukweli kuwa Ally alikuwa juu sana kuanzia 2007-2010....baada ya Dimond kuja na kuteka soko la Muziki huku akiwazima watu kama taa ally kiba alipotea kwa kasi ya kimbunga kabla ya kuanza kupanda...
10 Reactions
65 Replies
11K Views
huyo Stan ndiye anayepigiana simu na Mkude Simba yeye akiwa mjini na sauti zao zinafanana sana hawa jamaa! kuna jamaa wanadai ndiye mwenyewe, kuna ukweli wowote?
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Waliobahatika kumuona jamaa bado ni mlokole?
1 Reactions
13 Replies
3K Views
SiKU chache baada pedeshee Mkongo , Mwami Rajabu kutangaza kuwa anamtaka staa wa sinema Bongo, Elizabeth Michael ' Lulu' kwa gharama yoyote, mwigizaji huyo ametoa jibu linaloonesha dhahiri...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Jana nilijihakikishia jinsi gani Diamond yupo katika level yake ya kipekee huko juu....unajua ilikuwaje?? kwenye tamasha la fiesta la Dodoma ilipigwa nyimbo ya mdogomdogo bila Diamond kuwepo na...
4 Reactions
158 Replies
14K Views
Ni baada ya kupata komenti nyingi kwenye kurasa yake ya Instagram za kuitusi Africa na kumuomba asirudi na Ebola nchini kwao... T.I pia kawapiga mkwara wote wanaongelea Ebola kuwa atawafuta...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
STAA wa filamu mwenye makeke mengi, Elizabeth Michael ' Lulu' amesema kwa mtazamo wake anaona Bongo Movies imebuma hivyo ameamua kukomaa na shule ili awe na kitu kingine tofauti na sanaa...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Nauliza tu nyumbani lounge ni propert ya Jaydee? Cc: warumi Dinazarde Heaven on Earth
2 Reactions
75 Replies
12K Views
Hivi hawa jamaa wako wapi now days Super Deo Compoza, Cris Faby, Peter Panatlaksi, Bob Digadiga, Masud Masud, John dilinga, Bon lov n.k
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni kweli kabisa wolper, kila mtu anafanya uchafu pengine hata kushinda wa kwako, na uko sahihi kusema kila mtu ana Uhuru wa kufanya anavyotaka ila kumbuka wewe ni super staa aka kioo cha jamii...
0 Reactions
44 Replies
19K Views
Nimesikia juzi Diamond ametimiza miaka 25 ya kuzaliwa kwake!Mimi nilijua anakimbilia 35,kumbe ndo kwanza bado anakua? Hongera kwa kuwa mdogo Diamond.
0 Reactions
59 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…