Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

MSANII wa filamu za Kibongo, Doreen Reguna ‘Queen Magali' amefunguka kuwa kifo cha staa wa Bongo Fleva, Moses Mshagama ‘Mez B' ni pigo kubwa sana kwake kwani marehemu alikuwa ni...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
http://youtu.be/ezNduQlf_nA
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Is D’ Banj Having Oral Intercourse With This Female Fan On Stage? kama ni mchumba wako au mke wako anafanya hivyo in the name of ushabiki utafanyaje?
0 Reactions
14 Replies
5K Views
STAA wa filamu, Blandina Chagula ‘Johari' ameamua kuvunja ukimya wa muda mrefu baada ya kuweka wazi mwanaume ambaye anahitaji amuoe na sababu inayomfanya asijichanganye na mastaa wenzake...
0 Reactions
15 Replies
11K Views
Msanii Omary Nyembo alimaarufu kama Ommy Dimpoz amefunguka na kusema kuwa watu wa uhamiaji duniani kote huwa hawatambui umaarufu wa mtu pindi wanapogundua kuna kitu hakijaenda sawa,Ommy Dimpoz...
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Diva anayekimbiza kwenye kiwanda cha filamu hapa bongo, Jackline Massawe au kwa jina maarufu la Wolper, kwa mara nyingine ameripotiwa kuangukia kwenye mikono ya pedeshee ambaye ndiye anayempa...
0 Reactions
38 Replies
7K Views
Mwanaume mwenye vigezo gani ungependa kuwa nae kwa sasa? JIBU :Anaejali na kuheshimu, mwenye roho ya upendo na huruma, anaeweza ku take care of me financially.Asiechepuka hovyo (Milupo kila...
1 Reactions
247 Replies
32K Views
HUTAKIWI KUWA NA HASIRA KATIKA PROCESS ZA KUTAFUTA MAISHA.... utakutana na changamoto nyingi sana na lazima ukubali.. kubali kudharauliwa, kubali kushushwa kubali kuonekana huna maana lakini...
7 Reactions
32 Replies
10K Views
POSO Tanzania ni ofisi ya uwezeshaji wananchi kiuchumi chenye database ya wateja wake 250,000 kila mkoa na wameingia rasmi kwenye sekta ya filamu kwa kuwachukua waigizaji nguli kama Rich(Single...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Msanii kutoka TMK Wanaume Family, Amani James aka Mh Temba jana amefikishwa katika mahakama ya mwanzo ya Temeke jijini Dar es salaam akikabiliwa na mashitaka ya kutishia kuua kwa kisu kutokana na...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Kanye West anafahamika kwa kuwatoa wasanii wengi wakubwa nchini Marekani. Bila yeye leo hii hakuna mtu angekuwa anawajua Big Sean na John Legend.Na sasa kupitia ngoma yake mpya ‘All Day’, (ambayo...
3 Reactions
20 Replies
5K Views
BREAKING NEWS BREAKING NEWS Taarifa zilizo2fikia hiv punde ni kwamba Mcharo‬kafirisika,mke wake sa hiv ni dagaa kwa mlenda mpk anawakera majran,mwanae mcharo karudshwa nyumban kisa ada...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hakimu wa mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, leo ametoa hukumu ya kifungo cha miaka miwili jela au kulipa faini kwa rapper, Chidi Benz. Chidi alipandishwa kizimbani mahakamani...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Katika bonanza lilopigwa mwishoni mwa wiki mjini Dodoma la Pspf..picha iliopigwa jukwaani wakati mshakaji akiwa busy kukata mapanga...pengine ile dhana ya wasanii na ndumba ni dam dam inaanza...
1 Reactions
134 Replies
33K Views
Yule mkali wa siku nyingi toka kinondoni TID hatimaye apata mpinzani wa kweli katika uimbaji,pamba na nyota kung'aa kwa watoto wazuri toka kwa P.H.D nae toka kinondoni ambaye jana Billz alionyesha...
0 Reactions
64 Replies
22K Views
Nimefikia uamuzi wa kudai talaka kutokana na kuchoshwa na vitendo vya ukatili nilivyokuwa nafanyiwa na mume wangu, kwa zaidi ya miaka8 na hata sasa bado anaendeleaje, Kwani hata kuongea uongo...
5 Reactions
135 Replies
27K Views
Huyu dada kutoka Arusha nilikuwa namkubali sana kwa nyimbo za injili, hasa ile albamu yake ya kwanza iliyo na wimbo wa "Habari Njema" Hivi kwa sasa yupo wapi maana hasikiki kabisa..
0 Reactions
21 Replies
10K Views
Leo nilikuwa naangalia kaseti ya picha (video) ya kwaya ya Shangalieni ya Arusha nikamuona huyu dada akianzisha wimbo huku akiimba kwa hisia (ukipenda katika roho na kweli). Ukiamuangalia...
0 Reactions
44 Replies
19K Views
  • Closed
- Jamani ndugu zangu heshima mbele sana ni heshima kubwa sana kwa mimi Mwana-JF mwenzenu kukubalika sana na jamii lets all celebrate that, kwanza ilikuwa kampuni ya Cocacola walinitengenezea kopo...
6 Reactions
250 Replies
20K Views
Mrembo na mwigizaji wa filamu mwenye mvuto zaidi hapa Bongo (kwa mujibu wa mtandao wa yourbesttop10.com), Elizabeth Michael ‘Lulu' jana usiku aliandika bandiko mtandaoni ambalo...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…