Imekuwa ni kawaida sana kwa wasanii wetu wa tasnia mbalimbali kufanya mambo fulani au hata vioja na kupelekea majina yao kutengeneza headlines katika vyombo mbali mbali vya habari (wengine nasikia...
Habari wanabodi.. Leo nimeona niandike hili.
Nieleweke kabisa mimi sina timu yeyote hapa.. Hivi majuzi tulishuhudia clouds Media kujitangaza kuwa bila wao diamond asingefika pale na wanajivunia...
Naamin kua kila m2 hupenda sana kufatilia na kutazama maigizo yanayorushwa kuptia v2o mbal mbal vya runinga,ss kuna katabia ka1 hua naona ni bora waachane nako yan utakuta lbd igizo linarushwa na...
Wasanii hawa kwa taarifa za ndani ni kuwa wamechaguliwa kuwa wajumbe wa kamati ya kitaifa ya katiba mpya kuelekea kura ya ndio wakiwa na Prof Costa Mahalu, Dr Bana, Kingunge, William Lukuvi na...
Mtoto wa Baakhresa Kaleta gari special edition yenye thamani ya us 500,000/ sasa sijui kuna ukweli juu ya hili??
Source:BongoClan™ : TAZAMA PICHA ZA GARI LA SH. MILIONI 805 LINALOMILIKIWA...
Mjini Msingi kiuno , Kauli inayodhihirishwa na Zari hapa kwenye hizi picha , Zari amenaswa na mpiga picha wa Diamond akikagua mali zake kama zipo salama
Habari wanabodi,
Jana nilikuwa naangalia kipindi cha 5gears cha clouds TV kinachorushwa kila jumatatu saa tatu na nusu usiku(marudio 7:30/8:00 mchana Jumanne/Jumamosi),nilishangaa kumuona Matonya...
Vijana wa Yamoto Band jumamosi iliyopita Walipiga Bonge moja la Show huko UK London katika Ukumbi wa Royal Regency na kuhudhuliwa na watu kibao wanaoishi huko, Hizi ni picha za matukio katika...
Msanii wa bongo flava Seif Shabani "Matonya" amefungua mwaka 2015 kwa aibu kubwa baada ya picha kuvuja kwenye mitandao ikimwonyesha akiwa amelewa chakari hajitambui.
Picha hiyo inasemekana...
Mara nyingi huwa tunazipata picha za wasanii wetu waimbaji wakiwa wameshika microphone wanaimba au kuchana mistari. Kutokana na wao kuona picha za marapa wengine jinsi wanavyoshika maik nao huiga...
Ni mifano mingi tumeona pindi msanii au mtu yeyote yule ambaye amefikia umri wa kuanzisha familia inapotokea amefariki bila hata ya kuacha angalau mtoto mmoja ambaye atakuwa faraja kwa familia au...
Leo kuna mtu kaniambia msome Mange kaongea kitu kizuri sana, nikampuuza ila aliponipa brief ikabidi niingie kumsoma.. Kwa kweli huyu mama uwa simkubali mpaka nakufa ila kaongea kitu cha msingi...
Gauni limeibiwa hotelini alikipwa alivae na Calvin Klein .Dah tuombe lipatikane jamani lisimtie nuksi dada wa watu .
Lupita Nyong'o's stolen Oscars dress has been returned to the scene of the...
Habari wajameni kwa mara ya kwanza kama Mtanzania niliekerwa na wabongo kufanya video nje ya nchi South Ulaya na America. Naomba mimi mfalme Simba ni direct video ya wimbo huu wa Chekecha...
Naomba tupendekeze nani ktk kundi la wasanii wa kibongo anaweza kua na sifa za kuongoza nchi, ukilinganisha na namna anavyo jitoa ktk tasnia yake..
Tunaweza kumuelezea kwa vipengele kama hivi...
Mnyama ana tuhuma ya kumtumia msichana ili amuue ali kiba,amehojiwa na clouds fm akiwa kituon na kukanusha madai hayo na kusema hajui chochote na he has nothing against ali k,hawajawah kugombana...