Laurent Samatta/Uwazi
BAADA ya kuachana rasmi mwanzoni mwa mwaka huu, Isabela Mpanda Bela na Luteni Karama,msanii huyo wa kike ameamua kumwaga mchele kwa kudai kuwa aliwahi kushika mimba...
STAA wa filamu za Bongo, Aunt Ezekiel, amesema mafanikio ya wasanii wengi wa kike hayatokani na mauzo ya kazi hiyo bali sapoti ya waume au wapenzi wao kwa kuwa soko la filamu limeharibika...
Yupo sahivi anahojiwa na Sam Misago FNL, kawaambieni hivyo mashabiki wake kwakuwa mmeishupalia ishu ya kumpiga vibao 'mmewe' wakati hamjui kilichotokea
Msanii wa filamu za Kibongo, Yusuf Mlela amefunguka kwamba baada ya kuishi ‘singo' kwa muda mrefu, sasa anajipanga kuoa hivyo ndani ya mwaka huu lazima ndoto yake hiyo itimie.Msanii-wa...
Mwanamuziki Nazizi kutoka Kenya ameshangaza wengi baada ya kufanikiwa kupunguza mwili wake kwa kiasi cha wengi kutoamini kama ni yeye. Mwanamuziki huyo kabla ya hapo alivyosasa alikuwa ni Bonge...
Baba 20% sio unafki ana kipaji, na katika wasanii watunzi wazuri na wenye kipaji ni huyu hapa. Sasa sijui tatizo ni nyota? Simsikii tena hau itakua kukosa kashfa na Kushinda magazetini ndo maana...
Whitney Houston's daughter found unresponsive in the tub.
ATLANTA (AP) The daughter of late singer and entertainer Whitney Houston was found unresponsive in a bathtub Saturday and taken to a...
HUYU SINTA AU CHRISTINA Sijui nani nani, kwa sasa hivi anatamba sana na kudae kuwa yeye ana masters ya international relation, tunavojua huyu sintah pindi alipomaliza form 4 hakuwahi hata kunusa...
Ndoa iliokuwa ifanyike kati ya msanii Walper na mwenzie Sanga, imeingia matatizoni baada yawazazi wa bwanaharusi mtarajiwa wamekataa mtoto wao kumuoa Walper wakiamini atamsumbua mtoto wao hata...
Umofia kwenu wana JF,
Miaka ya 2006/2007 jina la Cynthia Masasi lilipata chati sana kwenye blog za bongo hasa alipoanza kuonekana kwenye video za wanamziki wa mtoni.
Video queen huyo jina lake...
Mwigizaji wa filamu z kibongo, Miriam Jolwa Jini Kabula amemtaka mzazi mwenziye, Tuesday Kihangala Mr Chuz aoe ili kulinda heshima yake.
Akizungumzia maisha yake ya uhusiano mbele ya...
Wasalam wanaJF wenzangu,
Kwanza naomba ni declare interest kuwa mimi ni shabiki wa maendeleo katika nyanja zote. Lakini kwa leo nitazungumzia muziki wetu hapa nchini (Bongoflava). Lakini point...
1. Kala Jelemiah -
2. Roma Mkatoliki - Huyu ni kama ameimba nyimbo moja tu toka aanze muziki nyimbo zake zote zinafanana- soon atapata stress huyu jamaa
3. Vanessa Mdee- Hajijui kama hajatoka...
Staa wa muziki wa Nchini Uganda, Bobi Wine ameibuka na kusafisha jina lake kwa kusema kuwa, tetesi za yeye kugundua kuwa alikua analea mtoto Simon ambaye si wake bila kujua kwa miaka kadhaa sasa...
aisee masela domo yupo levo nyingne kwa sasa,baada ya kula mkwanja unaokadiriwa zaidi ya mil 90 kwenye kiboko yao concert.hii itakuwa nyingne ya kwenda kulamba mil50 ya maCCM kesho songea.team...
Muonekano wa rais Barack Obama alipotembelea kijijini kwao Kenya. Nadhani baadhi ya hawa jamaa ktk picha hizi kama wapo hai basi watakua wamezifanya kumbukumbu kua walipiga picha na president...
Licha ya kuwa ni msichana mrembo, tajiri na apparently akitarajia kumpa mtoto Diamond, Zari Tlale aka The Bosslady anakabiliana na ushindani mkubwa kutoka wasichana wengi Afrika Mashariki wenye...
Chama cha mapinduzi CCM kesho tarehe 1 Feb 2015 kinaadhimisha miaka 38 tangu kuanzishwa kwake mjini songea mkoani Ruvuma.
Kundi la TOT ambalo linamilikiwa na CCM litakuwepo mjini songea...
Huyu bibie wa kichaga mtanzania aishie London haishiwi vituko kila kukicha..ukikumbuka vizuri ndiye huyu mwenye sakata na G.J.Lema..
Leo kaachia kituko kwenye blog yake kilicho nifanya nianguke...