Msanii akishafanikiwa kuwashawishi mashabiki kulipa kiingilio na kuingia kwenye show yake, hana kazi ya ziada zaidi ya kufanya show nzuri ambayo huwafanya mashabiki wenyewe kuingia tena mifukoni...
Najua mlinimiss sanaa polen kwa kunimiss sasa leo naja na hii ambayo tayar ishakua Confirmed
Baada ya Zari kutua Dar takribani week sasa akionekana na mizunguko ya pamoja na mpenzie Diamond...
Msani mahiri wa bongo flava Jux leo amepost mjengo kwenye account yake ya instagram na kuandika amekamilisha ndogo yake kubwa ya utoto hii inamaanisha sanaa ya muziki inafaidisha sana wasanii...
Huwa najiuliza sana kwa hawa watu kwanini wanapenda sana kila wanachofanya kije kwenye media. LE MUTUZ huyu jamaa kila anachofanya lazima aweke kwenye media. Mara nimefungua ofisi mara leo nafanya...
Mwanamuzi Mkongwe wa Bongo Flava Ray C a.k.a Kiuno Bila Mfupa Amejitokeza na Kusema Yupo Tayari kuanza Kumsaidia Mwanamuziki Daz Baba Anayesemekana kuathiriwa na Madawa ya Kulevya Kiasi cha...
The Mail revealed this week that the Duchess of Cambridge's uncle, Gary Goldsmith, (top left) had posted a picture on social media of his wife Julie-Ann (top row, third from left) that bore a...
Jana wakati wa kipindi cha Ampilifaya cha Clouds Fm Millard Ayo, alimuuliza Aunt Ezekiel kuhusu mwanaume aliyempa mimba.Je ni Waziri wa wanyama au yule mcheza densi au mumewe anayeozea jela za...
Nilikua nafuatilia Sporah show ya mdada Recho a.k.a Recho mapenzi, yaani hana answering skills kabisa, hajui kujieleza, anauliza maswali mengi kama yeye ndio ana host show.
Nilipochoka ni pale...
Natumaini wote weekend ilikuwa poa na kama nilivyowaahidi last week nitaingilia kati beef la hawa wanawake kwa heshima ya Mr Mali na watoto zao pia.
Nimefanikiwa kumshawishi Linda aachane na...
Wakati tetesi zikizagaa kila kona ya mji , kuhusu ujauzito wa star wa movie ya 'Young Billionaire', Aunty Ezekiel kuwa amenasa ujauzito wa dancer wa mwanamuziki maarufu nchini, Diamond Platnums...
Wiki mbili zimepita tangu afariki, alikuwa staa wa movie za Nigeria, Muna Obiekwe ambapo sababu ya kifo chake imetajwa kuwa ni tatizo la figo ambapo hakuhitaji kuchangiwa chochote ili akapatiwe...
Kwa upeo wangu., hili bifu la hawa watu wawili linakuzwa ili kumtafutia jina Ali Kiba ambaye alishapotea kwny ramani ya muziki.! naamini kwa wakati huu Diamond ni bora zaidi na hastahili...
Wema Sepetu amemfungulia mashitaka ya madai ya pesa shilingi mil 10 za VICOBA alizomkopea Diamond na kushindwa kuzilipa kwa wakati.
===
MKALI wa filamu nchini na Miss Tanzania mwaka 2006, Wema...
Aliyedownload na kuicheza hebu aniambie inachezwaje.Yaani chenga tu hamna la maana zaidi ya chupa ya wine picha kidoti ambazo hata hazisogei.
Sijui alifanya uzinduzi wa nini.
Nimetoka kusikiliza interview ya 10 years ya THT iliyofanywa na bongo 5. boss Ruge kaongea ya maana sana, huyu bingwa wanamsema sana kwa mabaya.
Lakini ukweli ni kwamba kasaidia sana wasanii...
Laurent Samatta/Uwazi
BAADA ya kuachana rasmi mwanzoni mwa mwaka huu, Isabela Mpanda Bela na Luteni Karama,msanii huyo wa kike ameamua kumwaga mchele kwa kudai kuwa aliwahi kushika mimba...