Vanessa Mdee.
Maarufu kama Vee money yeye ni recording artist, rapper, songwriter, na mtangazaji wa vipindi vya television na redio,mitandao mengi ya huko nchini Kenya ili ripotiwa kumfananisha...
Salaam wanaJF,
Kuna msanii mwenye kipaji cha hali ya juu lakini hana bahati, hapa namaanisha kuwa nyimbo zake hazichezwi sana redioni wala kwenye TV. Lakini ukiangalia nyimbo zake Zina ujumbe...
NEWZTANZANIA.: USWAHILINI MATOLA..WAMEPOTELEA WAPI?
Jamaa walikuwa wakali sana miaka ile, Pini lao la HAKUVAA KONDOMU lilibamba sana.
Walikuwa wanaweza sana na albamu yao ilibamba pia.
Je,wako...
Hello wakuu!
Mimi ni mfuatiliaji wa Music. Katika siku za hivi karibuni umezuka ugomvi kati ya Birdman na Lil Wayne.
Natamani sana kuelewa chanzo chake kwa mtazamo wangu nahisi hawana ugomvi...
CHINEKEEE NAANZAJE KUMVOTIA MNAIGERIA MBELE YA MTANZANIA KWA MFANO???
Guys, acheni haya mambo jamani…. Mnaenda too far with this jamani… Tunajiaibisha sana watanzania… Busy...
Kim K met her friend Serena Williams in front of Harrods, they said hi to each other, both hugged and Serena asked for permission to touch Kim K's tummy. Kim allowed Serena to touch her tummy...
Ni kijana mwenye mawazo mapana sana japo umri si mkubwa sana , anasema siwezi kuwa na mapenzi ya chama ikiwa nchi ni masikini sana. ''Nimebahatika kwenda nchi tofauti nchi yetu ni masikini sana...
Kwenye ukurasa wa instagram wa mzazi mwenzie na Sugu anaefahamika kwa jina la Faiza ameandika kilio chake jinsi anavyoumia kuwa mbali na Sugu, uku akisema analia kwa sauti siku nzima.
Sugu...
Huyu mama yuko UK sasa mwaka wa Pili anasoma pale Westminster. Lakini cha ajabu hatumuoni kwenye misiba wala magonjwa lakini anaonekana sana kwenye mikutano ya kufungua matawi ya CCM uingereza...
Katika kazi za hivi karibuni kati ya mastaa wakubwa zaidi barani afrika King of pop Afrika ya mashariki Diamond Platnumz aka. Chibu dangote toto la kimanyema amezidi kung'ara zaidi juu ya OBO...
Msanii Mkongwe wa Bongo Fleva, Juma Kassim'Nature' ametoa misaada mbalimbali kwenye hospitali ya Zakhem iliyopo maeneo ya Mbagala jijini Dar.
Akizungumza na Clouds FM, alisema kuwa ameamua...
Today is annivesary of last moment of MJ. He passed away in his apartment in US. The World still feel him. RIP MJ (Michael Jackson).
=================
Michael Jackson death anniversary: Top 10...
Aliyekuwa mwanamuziki wa Twanga Pepeta,Ramadhani Masanja au Banza stone,anaumwa sana na yuko Mbeya. Habari zinasema kakosa hadi nauli ya kurudi Dar Es salaam. Mkurugenzi wa Twanga pepeta Asha...
DIVA, B 12, MCHOMVU ‘OUT' CLOUDS
by GLOBAL
Stori:- MUSA MATEJA
WATANGAZAJI maarufu Bongo wa Redio Clouds Fm ya jijini Dar es Salaam, Hamis Mandi ‘B 12', Adam Mchomvu na Loveness...
Kama ulikuwa hujui basi chukua hii, staa wa filamu za kibongo, Kajala Masanja alitaka kumlipia dhamana mume wa mwimbaji wa muziki wa injili, Florah Mbasha aitwaye Emmanuel Mbasha shillingi za...
Diamond kwa muda mrefu amekuwa mbunifu sana kwenye kazi yake ambapo amepelekea kuwa mwanamziki mwenye utofauti mkubwa sana na wengine katika vipengele vifuatavyo:-
1. Management yake.
...Ana...
Dah! Nimeingia social media, Wanigeria wanatutusi sana na kutuita kila jina kisa Diamond. Kwanza wanasema tunajipendekeza sana kwao.
Mfano mzuri Mondi, coz kila collabo lazima akafanye na...
Siku za hivi karibuni nilibahatika kutembelea nyumba anayoishi mwanamuziki wa nyimbo za Injili, Bahati Bukuku iliyopo maeneo ya Kibamba, kwa kweli niliogopa, Bahati anaishi kwenye ghorofa la...