Habari wadau,
Mwanamuziki Kidcali,28yrs ameuawa kwa kupigwa risasi usiku wa kuamkia Leo wakiwa kwenye tamasha "Pool Party".
Kidcali ameacha mtoto m1 na mkewe akiwa na mimba.Mpaka sasa muuaji...
Msanii wa kuchekesha Idris Sultan amejitoa Rasmi katika mtandao wa kijamii wa Instagram baada ya kinachosemekana kuwa ni maji kumfika shingoni. Watu wa karibu wa Idris wanasema kuwa Mchekeshaji...
Nguli wa vichekesho kupitia luninga nchini, Masanja Mkandamizaji hatimae kapata jiko.
Nakupongeza sana kijana umeonyesha mfano mkubwa kwa sababu wanasanaa wengi hili jambo kwao ni ndoto kubwa...
Anaitwa Malaika Mihambo,mwanamichezo wa Olympic Rio2016 anayeiwakilisha Ujrumani ktk mchezo wa "Long jump".Baba yake ni Mtanzania,Msukuma aliyekulia na kuzaliwa Znz ambapo wazazi wake walienda...
Idris Sultan na Wema Sepetu wamezinguana kwa mara nyingine tena.Kisa na mkasa na Wema kuisusia show ya Idris, Funny Fellas kwa mara nyingine tena huku mshindi huyo wa Big Brother akihudhuria za...
baada ya kuzinduliwa kwa tuzo za eatv kuna category kumi ambazo sizani kama kuna msanii wa hiphop anaweza akashindana na msanii yeyote wa kuimba hiphop ya bongo kwa sasa inakoelekea ni kupotea...
Kabla jk hajatia saini huo muswada tujitahidi kuyatoa....:cool:
uyu jamaa bwana nimewahi mfuatilia huko insta na alijifanya kuponda sana mtu kuajiriwa...na akafikia hadi kulipisha watu 20,000 kwa...
Huku mtaani kuna stori zinasambaa sana kuwa huyu bwana mdogo mond kuwa now anapumulia mashine kutokana na ngoma zake kutofanya vizur mtaani hata kwenye rotation za TV na radio.....
Hata...
Hii vita ya diamond na king kiba, sio kwamba imeharibu mziki na kufanya wasanii wakubwa hata wakitoa nyimbo zisilete impact kubwa kama ambavyo ingetegemewa.
Ila diamond au alikiba akitoa wimbo...
Muimbaji Bi. Shakira Said Hamis nguli wa nyimbo za taarabu asilia, ameleza kinaga ubaga mapenzi yake makubwa kwamba anatamani kufanya zingzong na diamond,
Bi. shakira hakuishia hapo baada ya...
Katika harusi ya Masanja Mkandamizaji iliyofanyika Agosti 14, wachekeshaji wenzake wa kundi la Orijino Komedi, walikuja wamevalia nguo zilizofanana na sare za jeshi la Polisi hali iliyowapelekea...
Wakuu mwenye kujua namna ya kusajili club ya soka tz anipe mwanga, ili uwe na club ilosajiliwa unatakiwa upitie njia zipi na vigezo gani ili hata uweze kushiriki ligi za tz
Maharusi, wazazi wazama bwawani wakikata keki
na Betty Kangonga
MAHARUSI pamoja na wapambe wao usiku wa kuamkia mwaka mpya, walijikuta wakizama katika bwawa la kuogelea jijini Dar es...
Nasibu Abdul Juma "Diamond Platinumz" "Simba" Chibu Dangote" ni miaka minne imepita toka alipobadili tasnia ya mziki wa Bongo fleva mwaka 2012 pale alipofanya concert ya Diamonds Are Forever bila...
Ndugu wana burudani ni ukweli ulio wazi kuwa Alikiba ndiye aliyewahi kutoka kabla ya Diamond Dangote, Diamond alikomaa kwa kutokubweteka mpaka sasa hivi tangia 2009 bado yuko juu, sasa Huyu Kiba...
Wakuu salama! Ile siku iliyosubiriwa kw hamu ya Event ya utoaji wa Tuzo kubwa Africa za Uganda Entertainment Awards (UEA) imefika.
Categories zinazotazamwa zaidi ni zile zilizowashirikisha...