club mpya ya soka

Nyakarungu

JF-Expert Member
May 1, 2011
472
375
Wakuu mwenye kujua namna ya kusajili club ya soka tz anipe mwanga, ili uwe na club ilosajiliwa unatakiwa upitie njia zipi na vigezo gani ili hata uweze kushiriki ligi za tz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom