Hatimae urafiki wa Wema Sepetu na Munalove wafika ukingoni. Huko Instagram yazuka maneno mengi kuhusu Muna kumloga Tanzanian sweetheart ni pale Munalove alipoiba chupi ya Wema Sepetu na kuipeleka...
1.SAM MISAGO vs B-TWELVE
2.ADAM MCHOMVU vs ABDALA(dulla wa planet bongo)
*hawa jamaa wanaendana sana kiutangazaji bila kusahau 'swaga' na wote wako hot kiukweli(wanajua),yupi anakukosha zaid...
Tiffany Trump (23) ni binti wa Donald Trump kutoka kwa mke wake wa pili Marla Maples, mwigizaji wa zamani na nyota wa Televisheni.
Mrembo huyo ambaye amefuzu chuo kikuu hivi karibuni, alikuwa...
Wadau najaribu kufatilia kipindi kipya cha salama jabir "ngazi kwa ngazi" dizain naona km sikielewi elewi hivi hakina mvuto ule wa ubora wa salama au ndo uzee.....!!
video imevuja ya mwadada Sepenga akifanya yake ,juzi kati alihojia juu ya mahusiano yake na Calisah alimkana akasema ni rafiki sasa leo video imevuja huko instaa kila page inatembea anakiss na...
Hichi kitu huwa kinanishangaza sana ikitokea mtu ukiwa unapost habari kuhusu wasanii watu wanakuita mbeya lakini ukitoa habari za wanasiasa hauitwi mbeya , tuchukulie mfano juzi magufuli alienda...
Aisee huu wimbo wa Salome ni Shida sana mtaani kuanzia kitaa, club na bar..!! KwA wiki tatu sasa hii ngoma bado inasumbua mtaa. Miye ni Timu Tanzania, japo ukweli ni kuwa Daimond huwezi...
Alikiba amesema tatizo lililopo kwenye muziki wa Tanzania, ni baadhi ya nyimbo nzuri kutopewa nafasi ya kusikika kama zinavyostahili.
Ametoa kauli hiyo wakati akihojiwa kwenye kipindi cha...
Masanja huyu huyu aliyekuwa akiwacheka wenzake kuwa wamefulia, sijui wameloweka, hivi karibuni ameonekana 'akihaha' kutafuta pesa kwa udi na uvumba!
Huyu si ndo alikuwa anawachapa vijana viboko...
Muigizaji maarufu nchini India Kareena Kapoor asilimu,Sasa hivi ni Mwislamu.
Pia ni ndugu yetu katika Imaan.
Allah amfanyie wepesi ili aishi katika misingi ya Dini yetu ya...
huyu jamaa ni nani? namsikia tu wana mtaja sana wasanii kwenye nyimbo zao, au ndo wale ma papaa wa mjini. Kama kuna anae mjua naomba atupe kapicha kidogo
Je hilo swala ni la kweli kuwa diamond ameanza kuonyesha dalili za kumuogopa alikiba coz ukiangalia hata kwenye tamasha la fiesta alikimbili Nigeria pia kwenye tuzo za eatvaward kama kakimbia ivi...
Sauti Sol ni kundi la muziki la nchini Kenya likijumuisha waimbaji Bien-Aimé Baraza, Willis Chimano na Savara Mudigi pamoja na mpiga guitar wao Polycarp Otieno.
Navy Kenzo ni kundi la nchini...
Guys mniwie radhi kama ntawaboa,lakini nimeona nijue hili.kwani hakunaga dogi fj!!.Tumeona hapa mbongo kuna watu hata ukiskia saut yake tu,au kuona picha yake unamtambua hata kama hukuwahi kumuona...