Wakuu,
Kwa jinsi mambo yanavyoenda uchawa unaenda kuwa anguko la CCM.
Rais Samia unaweza usiwe na ufahamu mkubwa kupambana na mavitu complex, lakini hata hili dogo la uchawa unaacha mpaka...
Mwanamitindo Hamisa Mobetto amefichua siri kuwa wakati Diamond akiwa na Zari walikuwa wanakutana na kwa siri na akafanikiwa kutundikwa mimba tatu na Diamond ambapo mbili zilitoka na moja...
Naona hoja ya Steve ni ya kweli, ukifuatalia wasanii wa Bongo Movies wanajitokeza sana kwenye kila msiba kuliko wasanii wa Bongo fleva ambao wengi wao wanajitokeza kwenye misiba inayowahusu...
Hivi wakuu afya ya akili ya diva mnaiona ipo sawa kweli?
Ana utoto mwingi sana ,juzi kati watu wamemzodoa aliyekuwa mume wake kapata chombo kipya na ni mrembo haswa, eti Diva naye kaona wivu aka...
Uzi mfupi tu kuhusu soko la sanaa Tanzania. Wasanii wetu wa muziki ni muda wa kutoka usingizini sasa na kufanya kazi zinazoenda Duniani kama Wanaija.
Nimeandika huu uzi baada ya kuona kazi mpya...
Wakuu,
Wakati napiga round mbili tatu huko mtandaoni nimekutana na clip ya video vixen aliyefanya video ya Nitafanyaje ya Diamond.
Akiwa kwenye interview, huyu Vixen anasema kuwa sasa hivi...
Nimeamini mwanamke anaumia sana kuachwa na mwana anayempenda 😄
Kama mnavyojua Drake ni muhuni afu mwana, Serena Williams alimtongoza mwana akamwaga tui la nazi kisha akapiga chini ilimuuma sana...
Wakati wa kutoa pole kwa wafiwa mwanahabari mkongwe, Maulid Kitenge ametoa salamu kwa niaba ya Mkurugenzi wa Wasafi Media bwana Diamond Platnumz ambaye yupo Zimbabwe ambaye msiba umemkuta akiwa...
Kwa mnao fuatilia bongo fleva toka kitambo nadhani mtakuwa mnamkumbuka sana huyu jamaa.
Haroun Rashid Juma Kahena.Almaarufu kama Inspector Haroun aliteka sana soko la muziki wa Bongo fleva miaka...
Masterplan ya Tanga kuitawala Bongo Flava, ilianza kwa kutambulisha silaha yao ya maangamizi "Matonya", ambaye kinyonge, alilia “Uaminifu” akimshirikisha Bwana Misosi.
Jamhuri yote ya Bongo Flava...
Karibu kwenye kipengele hiki kizito cha upi wimbo ulio bora na umefanya vizuri kwa wasanii wetu wa kurap Tanzania. Piga kura ili tumpate mshindi. Tuzo za Tanzania huwa zinalalamikkiwa kwa kukosa...
Huyu kijana ambaye amekuwa maarufu kwa kipaji chake cha uimbaji nilifurahi kumwona BSS kama mmoja wa washiriki.
Hata hivyo nilistuka kupata taarifa kuwa hayupo tena BSS na sikujua sababu ni nini...
Juzi nilikuwa live kufuatilia utoaji wa tuzo za grammy uko kwa beberu trump
Matukio mengi yalienda sawa kabla ya bwana Ye kuingia na demu wake redcarpet akiwa uchi ad wakatimuliwa
Ila tukio la...
Wakuu,
Kiongozi wa Mabachelor Tanzania, Juma Jux nae rasmi ameingia ndoani.
Kataa ndoa mmepoteza moja ya makamanda wenu watiifu katika kambi yenu.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye tukio...
Rapa kutoka New York Marekani 50 Cent ameendelea kuwashushia zigo la lawama familia ya Jay Z kwa kile anachodai haiwatendei haki wasanii wengine kutokana na nafasi ambayo familia hio inayo kwenye...
Ben Kiko kuna kipindi alinifanya nisipende kumiss kipindi cha MAJIRA cha RTD enzi hizo hasa akiwa stesheni ya Dodoma na kisha akahamia Tabora. Taarifa zake zilikuwa na misisimko sana hata watu...
Mkurugenzi wa vipindi Clouds Media Group, Ruge Mutahaba amefariki dunia usiku huu Februari, 26 akipatiwa matibabu nchini Afrika Kusini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe...
Wakuu,
Hivi tutaendelea kuongozwa na Wanigeria hadi lini?
Tems jana ameshinda tuzo ya Grammy kipengele cha Best African Music Performance. Mwaka jana alishinda Tayla kipengele hicho hicho...