Huyu kijana alijizolea umaarufu miaka ya nyuma kutokana na tabia yake ya kulia lia sana pale timu yake ya Yanga ilipokuwa ikipokea kichapo alikuwa anashindwa kabisa kujizuia vile vile alihangaika...
NDEFU KIDOGO KAMA UNA USINGIZI KALALE UTAIKUTA KESHO.
Mambo vipi wadau. Kuna muhenga alishawahi kusema kuwa ukiwa unatukanwa sana kwenye "soshomedia" basi ujue we ni star. Usemi huu nimekuja...
Msanii wa muziki na video vixen, Amber Lulu Jumanne hii alipelekwa kituo cha polisi cha Urafiki Ubungo jijini Dar es salaam kueleza kama anahusika katika kusambaza picha chafu mtandaoni ambazo...
juzi nilikuwepo kwenye uzinduzi wa ile movie yako ila sikuamini nlichokiona Wallah mtoto umbo namba nane limekaa likakalika kweli na huo mtrako nyuma ndo kabisa uliniua nguvu zotee za kiume.. ila...
Kwanza mimi cna team katia ya hawa watu wawili ila
Kumfananisha #diamond na #kiba mna nkumbusha kipindi cha #ray na #kanumba ujue ilikuaje
Wakati kanumba akiangaika kutafuta masoko ya move nje...
Habari ndugu zangu.Ni siku kadhaa zimepita tangu manguli wa bongo flava kutoa nyimbo Alikiba~seduce me na Diamond/wcb ~zklipendwa.
Tangu nyimbo zilivyoachiwa seduce me ya King kiba ilikuwa no...
Msanii wa filamu bongo Aunty Ezekiel, amejivunia kitendo cha msanii mwenzake ambaye pia ni rafiki yake mkubwa Wema Sepetu, kuzindua filamu ya Heaven Sent kwa aina ya kipekee, na kusema huenda...
Hivi huu mziki Wa bongo kwenda nje na heshima yake...hatuoni mchango Wa Diamond...wale Vijana Wa wasafi he...?
Mtatufanya kuitwa watanzania tuone aibu
carnte himself
Hii ndio tweet iliyozua kizazaa mtandaoni kiasi cha mheshimiwa Lissu kuweka hadharani kuwa hio account iliyotumika sio ya kwake
Hii ndio tweet ya Lissu kukanusha uzushi wa kumshabikia kiba
Mwanamasumbwi Conor MCGregor ametamba kwamba lazima amchakaze Mayweather kwa namna yoyote ile ,Conor alienda mbali zaidi kwa kudai kuwa labda afie uwanjani ndo ushindi pekee atakao upata...
Habari za asubuh wapendwa. Nimekuwa nikiona wasanii mbali mbali ambao siku hizi lazma watafite kiki kisha baadae kutoa wimbo. Hii ni moja ya mbinu ya pekee wanayoona ni rahisi kuvuta attention ya...
I like the guy ni mtangazi mzuri sana anaijua kazi yake vilivyo. Though ana mambo yake mengine huwa sielewi but all ina all yupo vzr kwa watangazaji wa EATV. Karibuni mwenye mtazamo kama wangu au...
Good News nyingine kwenye muziki wa Tanzania baada ya Waandaaji wa All African Music Awards ‘AFRIMA’ wametangaza list ya wasanii wanaowania tuzo katika vipengele mbalimbali kwa mwaka 2017 ambazo...
Haya ni maoni ya rafiki yangu Benson Tembo ambayo nakubaliana nayo kwa 100%.
____________________________________
Ali Kiba na Diamond ni sawa na sukari na chumvi au chumvi na sukari, (vyovyote...
Sherehe inaendelea nyumbani kwa Diamond mida hii
Kideo(below) Babu Tale jana usiku akisema Bi harusi mtarajiwa...
Update
Snapchat video ya kunusisha tukio.. nakutana nazo nawaletea