Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Wema Sepetu. TUKIO la kushambuliwa kwa kupigwa risasi kwa Mbunge wa Singida-Mashariki, Tundu Lissu ambaye ni wakili na Mwanashieria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), limewaliza...
4 Reactions
27 Replies
6K Views
Harmonize akacomment hivi kwenye video yake "Vipi kwani ? mbona nasikia mtaa wa 3 povu kwani katajwa mtuu? message ikishafikaga ukweli unaumaga ? #NIMECHOKA mwambie tena anaejifanya...
1 Reactions
67 Replies
14K Views
MSANII wa muziki wa RNB nchini, Juma Jux, anayetamba na wimbo wake mpya wa ‘Utaniua’ amefunguka juu ya uhusiano wake na mwanamuziki wa Tanzania, Vanessa Mdee, kuwa kwake kwanza ni familia yake...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Nawasalimu wana jukwaa wenzangu Nimekuwa nikifwatilia industry hii ya media kwenye maswala yote yakiwemo ya michezo,muziki,na siasa pia.Leo nataka nimzungumzie huyu kijana kennedy ambaye...
2 Reactions
28 Replies
8K Views
Mchekeshaji, Mc Pilipili amepata ajali katikati ya kijiji cha Nyasamba na Bubiki mkoani Shinyanga. Kwa mujibu wa mpiga picha wake aliyejulikana kwa jina la ameithibitishia Mchekeshaji huyo kupata...
3 Reactions
65 Replies
15K Views
Aman iwe nanyi wapendwa Ebhana ee yule mkali kunako ulingo wa ngumi bondia maarufu anayekwenda kwa jina la my weather amedai yeye ana wasichana saba Hayo kayaongea akiwa anahojiwa na mtandao wa...
3 Reactions
64 Replies
6K Views
Baada ya mfanyabiashara mashuhuri nchini, Yusuf Manji kuachiwa huru na Mahakama ya Kisutu jijini Dar, Staa wa Bongo Muvi, Wema Sepetu ameonyesha kufurahishwa na kitendo hicho kutokana na ujumbe...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Wu-Tang Clan members say the album Martin Shkreli bought for $2 million isn't an 'authorized' Wu-Tang album John Lynch,Business Insider 9 hours ago Reactions Reblog on Tumblr Share Tweet...
0 Reactions
0 Replies
989 Views
SHAHIDI upande wa serikali kesi ya Wema Sepetu kutuhumiwa kutumia madawa ya kulevya amesema msokoto wa bangi ulikutwa ukiwa kabatini jikoni kwake. Hayo yamesemwa na ofisa wa ofisi ya Mkuu wa...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Habarini wanajamvi. KUTOKA BONGO FLAVA: Muziki wetu kwa sasa unakua kwa kiwango cha kimataifa kiasi cha kufanyika kile ambacho hakikuwahi kufikirika kichwani mwa watanzania wenyewe kuhusu BONGO...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Dah! Huyu Diamond wenu Watanzania kweli kidume maana kwa jinsi huwa namuonea wivu kwa huyo Zari wake....Aisei hatulii, mara kamtia mimba yule msanii waliyeshiriki naye kwenye wimbo wa 'Salome'...
3 Reactions
38 Replies
11K Views
MWIGIZAJI na mchekeshaji wa Filamu Bongo, Meya Shaabani amesema kabla ya kuingia katika ndoa aliichukulia poa, lakini kwa sasa anaona utamu wake na kumfanya afurahie maisha. Meya alisema maisha...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Jaman wanajf huyu mwandish wa tbc ni nouma anatangaza vizuri sana na anastahil pongez karipot vzur sana uchaguz mdogo wa igunga!
2 Reactions
28 Replies
7K Views
Leo katika pita pita yangu huko instagram nimeona msanii maarufu Duniani Rick Ross amempost Diamond na Kuandika maneno fulani! inaonekana Diamond kuna Deal kala la kutangaza kinywaji fulani hivi...
2 Reactions
54 Replies
10K Views
Kuna jamaa mmoja alikuwa anatangaza pale clouds FM kwenye kipindi cha the request show jumapili na kuna siku alipewa kuendesha kipindi cha xxl badala ya fetty, dozen na Adam walipokuwa...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Tumebishana sana leo kitaa hebu nisaidieni wanakijiji juu ya hawa mastaa nani mkali? Diamond na 20%
0 Reactions
56 Replies
10K Views
Nmekua nikisikia kua et diamond na bobjunior mkali diamond wana jf mnasemaje kuhusu hili nsaidieni jaman.
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Inakuwaje staa kama Lulu anakubali kuweka ramani ya jasho kwenye kikwapa? Inamaana hajui matumizi ya deodorant wajuzi wamsaidie?
1 Reactions
68 Replies
61K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…