Mazishi ya yamefanyika Ifakara Kibaoni na ndipo mahali alipompumzisha ndugu yetu Dennis Rupia (Chogo).
Mwili ukiwa unashushwa katika nyumba ya milele
Baba na kaka wa Marehemu, Dennis Rupia...
Wanasema ukigombana na mwanamke chunga mdomo wako,sasa kwa hili linaloendelea kati ya Diamond na Bibie zari ni wazi sasa they are no longer,najiuliza tu siku zari akaja kuadmit zile tetesi za kuwa...
japo nyt kali hivyo hivyo tu. mnamkumbuka? mnakumbuka wakati jamaa analeta ishu za diamond watu wakawa wanamsema sana humu? jamaa alisimama kidete sana kumpa dai promo humu jf na mwisho wa siku...
Nakumbuka kwenye Interview aliyofanya Diamond Platnumz kupitia Leo tena ya Clouds Fm.. alisema kuwa endapo Zari atagoma kumuelewa na kumsamehe yupo tayr kutembea kwa magoti kutoka Hapa mpka South...
Niende straight kwenye point,huyu bibiye toka zamani anatamani sana ubunge na umaarufu
toka aliposhinda miss mwanza 2005 wazazi wake wakaja juu sababu ya uislamu akaachia akaingia c2c 2006...
Naona ishu ya zamaradi mketema kuolewa na mtu mwingine na kumuacha boss wa clouds,haijamuuma Ruge pekeake,hata watangazaji wengine.
Zamaradi,achilia mbali harusi yake ya majuzi,leo ni birthday...
Kuna za kunyapia kuwa clouds wali cancel booking ya msanii mkubwa wa kimataifa toka Marekani na wengine wakubwa kutoka Nigeria, Ghana, zimbabwe na South Africa, katika moja ya show ambayo ingeweka...
Haya hayaa dakika chachee tu baada ya mshind wa big brother na pia ni komedian maarufu hapa nchini Tanzania bwana idriss sultan kuandika caption kwa nia ya kumtakia heri ya kuzaliwa mwanamuziki...
STAA namba moja katika Hip Hop kwa sasa nchini, anayetamba na kibao na video yake ya Zimbabwe, Ibrahimu Musa a.k.a Roma Mkatoliki, amesema licha ya usafi kuwa ni muhimu, lakini mtoto wa kiume...
Leo kwa mara ya kwanza kupitia mtandao wa video wa Youtube nimeshuhudia tangazo la wimbo wa 'Zilipendwa' ambao umeimbwa na wasanii kutoka 'lebo' ya WCB wakiongozwa na msanii wa kimatatifa, Diamond...
Nyimbo ya Diamond Platnumz "Hallelujah" imemfikia mchekeshaji maarufu duniani Rowan Atkinson a.k.a Mr Bean.
Tazama / sikiliza remix ya 'Hallelujah' kutoka kwa Diamond Platnumz akimshirikisha Mr...
Mzuqa sana wanajamvi
Inasadikika mwanamuziki mashuhuri wa Marekani Usher Raymond keshawahi kuzuru Nchini kimyakimya kula Bata mbugani.
Sasa hivi jamaa ana kesi zinamuandama kwa kuwaambukiza...
Nimejaribu kufatilia huu wimbo karibu miezi 5 ili kujuwa lengo la Mjomba maana huwezi kumsikiliza kwa mara moja ukapata majibu kwasababu hutumia sitiari na tafsida na aina nyingi tu za part of...
Ni vijana ambao kwa kweli unona hawajafika mbali ki masomo wamezaliwa na kulelewa katika maisha ya kimasikini lakini sasa wamejipanga na wanatengeneza pesa nzuri sana.
Hawa jamaa kusema kweli...
Mwanamuziki wa kizazi kipya Diamond Platnumz amesherehekea siku yake ya kuzaliwa leo kwa kutembelea hospitali ya Amana ambako amesababisha shughuli zisimame kwa muda.
Katika ziara yake hiyo...
Salaam wakuu,
Aisee huyu mwanadada(mama) back in,days alikua moja ya wasanii hot sana kwenye maigizo ya televisheni ila mara paap akapoteaga. I wonder kama kuna mkuu ana fahamu alipo kwa sasa n...
Kwa sasa ni kama anabahatisha kuimba tu
Wasimamizi wake nao inaonekana hawamshauri kwa lolote kuhusu nyimbo anazotoa
Wote tumeshuhudia akitoa nyimbo kama i miss you, Fire,eneka,na zilipendwa...
Hivi kuna uwezekano wanaompa support Ali Kiba wanataka kumshusha Diamond?, Kwenye hizi team nimeona sana team kiba wanafatilia sana habari na maisha ya Diamond, Kuna uwezekano mkubwa sana labda...
Wana JF wasalaam
Leo msanii Mrisho Mpoto katoa wimbo mpya unao kwenda kwa jina la Kitendawili na kwenye wimbo huu amejikita kumpa nasaha sizonje na akimkumbusha kwanini alimuita Sizonje....
Kwa...