Ni Aibu kuu tumedhalilishwa sana watanzania pamoja na wanawake wengine wooote kwa alichokifanya Dada Faiza, kupitia page ya Mange Kimambi Instagram, kutoa na kuonyesha hadharani Chupi yake...
Kila kitu na wakati wake
Naona ngoma ikivuma sana mwisho upasuka sasa naona upepo wa Team diamond,Team Kiba umefika mwisho. Hii imetoka na wadau wa Muziki kuchoka na kuona kuwa uwezo wao wakuimba...
Mtumishi wa mungu sijui mungu gani anajua yeye ,,
kajua kunivunja mbavu aisee kampa huyu mwanamke kichambo cha haja cha kistaarabu nimecheka sana ila watu wengi kwenye kuzingatia kuandika ni...
Mke wa mchekeshaji steve Nyerere amezungumzia kuhusu dada mmoja wa bongo movie kunyang'anya mume wake na kudai kuwa steve ataenda popote lakini atarudi tu kwa kuwa yeye ana watoto wake,
Amesema...
Kiukweli huyu mzee tulivipenda vitu vyake ila tusimlazimishe kurudi kwenye Sana'a ya mziki! Huyu mzee kachoka na kazeeka hivyo hata akirudi kwenye muziki performance yake itakuwa poor.
Ingawa...
Washiriki wa shindano la Avance Media kwa Watanzania 50 wenye umri mdogo na wenye ushawishi kwa mwaka 2017 wametajwa.
Watanzania hao 50 huchaguliwa kwa kupigiwa kura wakitokea katika sekta...
Huyu jamaa nimekuwa nikimfuatilia muda mrefu.. Aisee huyu jamaa ni kichwa sana.. Yaani unaweza ukachukua threads kibao za JF na comments za watu, lakini yeye akaweza kuyapresent kwa mchoro mmoja...
Baada ya kimya cha mda mrefu ruby amukuja na muonekano mpya wa kimaumbile ambao unashawishi kumtazama kila akipita mbele yako, hakika zawadi ya kudumu ni kubarikiwa wowowo
Kulikua na mburudishani mmoja miaka ya mwishoni ya 80 akijulikana kama Queen Clouds alikua ni mchezaji wa disko miaka hiyo , mwenye kumkumbuka na kujua yuko wapi atupatie taarifa.
Wanasema "Like Father, Like Son" naona mtoto wa zari na aliyekua mpenziwe marehem Ivan Don, Raphael, ameanza kufata nyayo za baba yake baada ya kuonekana akiwa na mabunda ya hela huku akileta zile...
Umofia Kwenu wana JF,
Habari zilizonifikia hapa minjingu ni kwamba msanii wa sinema za kibongo aliyetamba na movie ya swahiba,Rich mtambalike alias Rich Richie ameshusha mjengo wa ghorofa moja...
Mtalaka wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi "Sugu", Faiza Ally alijikuta akizuiwa kuingia katika ofisi za RITA jijini Dar es Salaam kutokana na kuvaa mavazi yasiyo na staha.
Askari...
Leo katika pitapita zangu nikaona nijaribu kueleza kidogo juu ya umri wa dada yangu wa Igunga Zuwena au maarufu kama Shilole.
Nimemkumbuka kwa mambo mawili; Mosi kama mtu ambaye aliwahi kuwa...
Baada ya kununua mercedes mpya model ya 2017 mara baada ya kufiwa na mumewake na kuanza ku control biashara za mumewe, leo tarehe 5jan 2018 zari kanunua gari mpya suv aina ya audi mara baada ya...
[emoji121]
WAKUU,
Kwa wajuzi wa Old Schooled Bongo Flava wanamtambua huyu JAMAA WA kuitwa SUMA G AKA MZEE WA VITUKO USWAHILINI, POMBE, TUNAJISALITI n.k.
Katika harakati zangu nimemwona jamaa...
Mkubwa Fella amejitoa sana kuwasaidia wasanii wadogo hadi kufika mafanikio ...ambayo wao wasanii wanamkubali kila siku.
Nimesikiliza Sporah akiwahoji vijana wa Yamoto Band Fella amewasomesha hawa...
Mwanamuziki mkongwe na maarufu Afrika Mashariki na Kati ambaye alikuwa anatokea nchini Kenya Gabriel Agoya Omolo anayejulikana kwa wimbo wake maridhawa wa ‘Lunchtime’ wimbo ulioimbwa mwaka 1970...