Aibu kuu: Mamlaka husika imuwajibishe Faiza kwa kuvunja maadili

malkiamrembo

JF-Expert Member
Mar 29, 2015
386
231
Ni Aibu kuu tumedhalilishwa sana watanzania pamoja na wanawake wengine wooote kwa alichokifanya Dada Faiza, kupitia page ya Mange Kimambi Instagram, kutoa na kuonyesha hadharani Chupi yake iliyochanika na kuongea mambo yana ndani sana ya mwanamke sambamba na kuzitaja sehemu za siri, Serikali na mamlaka husika tunaomba mzingatie hili kwakweli iwe fundisho kwa watu wengine ni aibuu kuu.....

Naomba wajuzi muweke link hapa ili watu wajioneee mm sina ujuzi wa kuweka link ya Instagram...

Ni video mbaya kwa maadili yetu.
Source:
Page ya Mange Kimambi Instagram
 
Mimi Mpaka nione kwanza uchi wa huyo faiza ndiyo nizungumze hebu wekeni basi hiyo video
 
Unakemea halafu unataka watu wairushe uzidi kuisambaza.. aiseeee

Tena aliruaha tatu.. naona Naibu Waziri kafungua njia ya wananchi kushitaki

Nakushauri utafute contacts za wao na kuwaandikia rasmi ya jinsi mauzi uliyopata..
 
Mbona hayo alishayarusha kwenye account yake mwenyewe jana au juzi?

Yaani kuongelea pichu yake nayo inakusumbuaje haswa!?.. napenda kufahamu.
Sio sawa hata tukijifanya tumezoea,hii inashusha sana thamani ya mwanamke kwa ujumla,very bad behavior kataa au ukubali maana alitaja na kusema kinane kilionekana kupitia tobo la pichu hii haipo sawa
 
Ni Aibu kuu tumedhalilishwa sana watanzania pamoja na wanawake wengine wooote kwa alichokifanya Dada Faiza, kupitia page ya Mange Kimambi Instagram, kutoa na kuonyesha hadharani Chupi yake iliyochanika na kuongea mambo yana ndani sana ya mwanamke sambamba na kuzitaja sehemu za siri, Serikali na mamlaka husika tunaomba mzingatie hili kwakweli iwe fundisho kwa watu wengine ni aibuu kuu.....

Naomba wajuzi muweke link hapa ili watu wajioneee mm sina ujuzi wa kuweka link ya Instagram...

Ni video mbaya kwa maadili yetu.
Source:
Page ya Mange Kimambi Instagram

Waswahili tuna tabu sana. Wewe maisha ya Faiza yanakuhusu nini? of all things...hicho ndo unaweza kukifikiria???

Fikiria ni namna gani unaweza kuongeza tija kwenye maisha yako. Hayo ya Faiza mwachie Faiza. Hayakuhusu!
 
Mimi Mpaka nione kwanza uchi wa huyo faiza ndiyo nizungumze hebu wekeni basi hiyo video

Eeeeh hakuna hayo ni pichu yake tu ina matobo na ni safi.. anaiongelea kaishikilia.. ndio huyo anasema inamuuma sijui imemfanyaje.. Kwa account ya Faiza ndio zipo tangu na inogile kusoma kucheka mtu husizeeke... tunaishi mara moja.
 
Ni Aibu kuu tumedhalilishwa sana watanzania pamoja na wanawake wengine wooote kwa alichokifanya Dada Faiza, kupitia page ya Mange Kimambi Instagram, kutoa na kuonyesha hadharani Chupi yake iliyochanika na kuongea mambo yana ndani sana ya mwanamke sambamba na kuzitaja sehemu za siri, Serikali na mamlaka husika tunaomba mzingatie hili kwakweli iwe fundisho kwa watu wengine ni aibuu kuu.....

Naomba wajuzi muweke link hapa ili watu wajioneee mm sina ujuzi wa kuweka link ya Instagram...

Ni video mbaya kwa maadili yetu.
Source:
Page ya Mange Kimambi Instagram
Stupidity,
Mambo ya Instagram muwe mnamalizana hukohuko au nenda kwa Juliana Shonza ndio hana kazi ya kufanya ujinga kama huo ndio level yake.
 
Ni Aibu kuu tumedhalilishwa sana watanzania pamoja na wanawake wengine wooote kwa alichokifanya Dada Faiza, kupitia page ya Mange Kimambi Instagram, kutoa na kuonyesha hadharani Chupi yake iliyochanika na kuongea mambo yana ndani sana ya mwanamke sambamba na kuzitaja sehemu za siri, Serikali na mamlaka husika tunaomba mzingatie hili kwakweli iwe fundisho kwa watu wengine ni aibuu kuu.....

Naomba wajuzi muweke link hapa ili watu wajioneee mm sina ujuzi wa kuweka link ya Instagram...

Ni video mbaya kwa maadili yetu.
Source:
Page ya Mange Kimambi Instagram
Umekuja kumtangaza huyo kichaa mange au lipi
 
Mbona hayo alishayarusha kwenye account yake mwenyewe jana au juzi?

Yaani kuongelea pichu yake nayo inakusumbuaje haswa!?.. napenda kufahamu.

Ndo hapo sasa nashangaa shida iko wapi.

Mbona wewe unaanikaga chupi zako zilizotoboka kwenye kamba nje na mnakaa wapangaji wengi.

Mleta mada anatakiwa awe na mambo ya kizungu kama wewe.
 
Back
Top Bottom