Kama mdau wa muziki nimekuona nikimuangalia huyu mwanadada tangu alipotoa ile Come over nikaona ana kitu. Jana nikiwa katika page ya nako 2 nako niliona wametoa wimbo mpya na kuutazama lazima...
Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Wizkid ameshangazwa na bei ya midoli ya ngono ‘Sex Dolls’ ambapo amesema kuwa bei ya midoli hiyo ni kubwa kulikuwa hata gharama ya kununua wanawake wanaojiuza...
Kwa wanaowafahamu ndugu zake na Konde boy Mtwara halafu Dogo akifika Dar anagawa Pesa kwa wengine inaniuma sana hata kama siyo ndugu zangu! Ingefaa dogo aanze kuwasaidia ndugu zake kwanza wote...
Nasema kwa sababu moja tu ya msingi ambayo hata mm team mond inataka kunichanganya.
Kwa huu mwaka mond kajitahid sana kutoa ngoma nyingi nahisi baada ya aslay yeye ndo anafata kwa kutoa nyimbo...
There is a young man from Mtwapa, Mombasa who has left many social media shocked by how much he resembles Diamond Platnumz.
The fella who is a bodaboda rider goes by the name of Patrick as...
Mwanamitindo wa kimataifa Amber Rose anatarajiwa kufanya upasuaji wa matiti yake hivi karibuni.
Mrembo huyo ambaye alitangaza kuchoshwa na ukubwa matiti hayo ameamua kutilia mkazo suala lake la...
Mpaka leo hii navyoandika hapa Deadbody sijawahi kuona kundi la muziki la wanawake kama hili
Ni kundi lililojumuisha wadada watatu wakijulikana kama DESTINY CHILD
Beyonce Knowles
Kelly...
Kwanza kabisa nikupe hongera Millard ayo kwa kazi nzuri unayofanya ya uandishi wa Habari. Wewe una kipaji kikubwa sana.
Presenter millard Ayo ndio anayetajwa kuwa mtu anayepokea royalities za You...
Mzee William akiwa na marehemu mama yake
Mzee William akiwa na mama yake wa kambo
Pamoja na kutokumkubali Le Mutuz kutokana na itikadi za kisiasa. Lakini nimeumizwa sana kejeli dhidi yake...
Mnalalamika watu wanawaonea oneni sasa nini hiki!? Kweli kidume anamwambia mkewe ahustle kwa bidii ili wasije kosa hela!? You hoes ain't loyal kabisa!
Oneni akili za wanaume wa Dar!
Yupi msanii wako bora 2017
Mimi kwangu ni Saida Kalori omwana wabukoba(Mtoto wa Bukoba) ...
Tinabingi byakugamba ninshaba omkama amwebembele.(Sina mengi ya kusema, namuomba Mungu ambariki)
Hitmaker wa Makulusa, Rayvanny aliyesainiwa kwenye label ya WCB-Wasafi iliyo chini ya Diamond Platnumz, amepatiwa tuzo na YouTube.
Na hawa ni baadhi ya mastaa duniani waliopewa tuzo na YouTube...
Mwanadada mwanamitindo na mwigizaji maarufu nchini, jackline Wolper Massawe ametangaza makubwa ujio wa ndoa yake inayotarajiwa kufanyika hivi karibuni mara baada ya kuwa tayari ameshatolewa...
Msanii Ali Kiba anaye amezindua biashara ya kuuza kofia aina ya Cap huko Nairobi Kenya, gavana wa Mombasa Hassan Joho ameonekana akizipigia promokwa kuzivaa
Ali Kiba pia ameibuka kididea kwenye...
Kutoa ni moyo na wala sio utajiri. Rapper Sean John Combs maarufu kama P Diddy amechangia kiasi cha dola 100, 000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 224 za kitanzania.
Msanii huyo ametoa fedha...
Inasemekana hali ya steve nyerere bado sio nzuri ,aomba kama kuna aliyemloga amsamehe
=======
Dar es Salaam. Msanii wa Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amesema ana wiki mbili yupo...
Inasemekana ule msemo wa chenye mwanzo kina mwisho umetimia kwa hii couple ya diamondplatnumz na zarithebosslady imevunjika rasmi,chanzo cha mvurugiko huo ni usaliti wa diamondplatnmz
Inasemekana...