Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Usiku wa 900 itapendeza ni shoo/hafla inayotarajiwa kufanyika 9 Disemba 2017 Uwanja wa Dar Live kumtambulisha dr.Shika kwenye muonekano mpya wakibilionea na Kumpongeza kwa kushindwa kushinda...
2 Reactions
42 Replies
8K Views
Wasanii Nguza Viking 'Babu Seya' na mwanaye Johnson Nguza 'Papii Kocha wamefunguka na kuweka wazi kuwa katika maisha yao ya muziki na sanaa hawataki kusikia kitu kinaitwa siasa na kusema wao siyo...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
*Adhibitiwe na kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria kwa 'kumtweza' Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo kupitia mitandao (kama itathibitika hivyo). Umaarufu haujawahi kuizidi nguvu...
11 Reactions
107 Replies
12K Views
Licha ya Jokate Mwegelo aka Kidoti kuachana na Hasheem Thabeet kwenye mahusiano yao ambayo yalidumu kwa takribani miaka mitatu, bado wawili hao wameonyesha kutokuwa maadui na wameendelea kuwa watu...
3 Reactions
89 Replies
16K Views
Msanii wa muziki wa hip hop, Roma Mkatoliki amefunguka na kutoa kilio chake kwa Basata ikiwa ni mwezi mmoja toka afungiwe kujihusisha na shughuli za sanaa kutokana na kudaiwa kutoa wimbo ‘Kibamia’...
1 Reactions
31 Replies
6K Views
Mwanamitindo Millen Magese amempa 'shushu' shabiki wake baada ya kumtuhumu kumkaba mwanae ili kupata umaarufu. Shabiki huyo alisema "Mtakuja kuwanyonga watoto kwa kutafuta kusifiwa" katika...
5 Reactions
45 Replies
9K Views
Sio kwa Bangi hizi
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Lejendari mwenye kiota chake ndani ya Tasnia ya Bongo Fleva, Profesa Jay amerudi kivingine. Nimekuwa nikimfuatilia kwa muda mrefu kuanzia kipindi kile cha HBC, kipindi cha Chemsha Bongo, Bongo Dar...
9 Reactions
53 Replies
10K Views
Mara baada ya kuachana na Diamond Platnumz hatimaye Zari the boss amenasa mimba ya mzungu. Habari nyeti kutoka mitaa hiyo zinasema mzungu huyo amekuwa na mahusiano ya kimya kimya na Zari kwa muda...
3 Reactions
41 Replies
7K Views
Wanajamvi wasalaam.. Kuna msemo unasema ndugu wakigombana au kutofautiana basi wewe chakufanya shika jembe ukalime,,, Leo msanii Diamond Platinumz akiongozana na mameneja wake walikwenda Basata...
6 Reactions
56 Replies
8K Views
Leo nilikua uwanja wa tabata shule kuangalia mechi za ligi ya mchangani..ALIKIBA nae alikicheza namba 9 kiukwel mpira anajua kucheza ila nilichoshangaa watu wala hawamshangai kama tulivozoea kwa...
0 Reactions
61 Replies
8K Views
kitendo cha ndani ya mwezi mmoja kufungiwa na basata na kuanza kulalama anakufa njaa, mara mtoto anakosa ada mara mke mjamzito anashindwa kumhudumia nauliza tu hivi huyu jama huwa haweki akiba? Au...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Je' unawafahamu ni Wakina nani walikuwa watumiaji 10 wa kwanza wa mtandao wa Facebook? Hawa ni wanafunzi wa Havard University walioonyesha mapenzi ya kujaribu mtandao wa bluu kama ulivyokuwa...
4 Reactions
51 Replies
9K Views
MAHAKAMA YASHINDWA KUSOMA HUKUMU YA MASOGANGE Hata hivyo, mdhamini wa Masogange ambaye hakutaja jina lake alisimama na kuiambia mahakama kuwa Masogange hakufika mahakamani kwa sababu anaumwa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Greetings wakuu! Nimesikitishwa sana na kauli ya bwana ROMA MKATOLIKI kwamba ameshindwa kumpeleka mwanaye shule kwa kukosa karo kutokana na 'kufungiwa' kwa miezi 6 kutojihusisha na sanaa na...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Pamoja na vyuma kukaza, bado anga la burudani lina shamra shamra kila uchwao! Ndani ya mwaka huu matukio mengi ya burudani yamefululiza na bado yajayo yanafurahisha, swali la msingi hapa ni je...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Mrembo Jane Rimoy kwa jina maarufu anajulikana kama Sanchi au Sanchoka anayefanya shughuli za umodel nchini Tanzania , ameweka wazi kwa mwanaume mwenye nia ya kumuoa mahari yake kwa sasa ajiandae...
6 Reactions
292 Replies
56K Views
Mchekeshaji kutoka kundi la Timamu, Ebitoke amejibu tuhuma kuwa amekuwa akitoka kimapenzi na mume wa Mamaa Ashura. Muigizaji huyo amesema kuwa tuhuma hizo hazina ukweli wowote ni stori tu za...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Wakuu kwanza nimpongeze Mondy baba Tiffah kwa jitihada zake za kuinua vipaji vichanga, nafurah kuona anaendeleza kazi iliyoasisiwa na King of Bongo Flavor in East n Central Africa #Alikiba ambapo...
0 Reactions
40 Replies
23K Views
Jamani sichoki kuusikiliza huu wimbo. Dimond hachoshi jamani kutizamwa. Na huyo Omarion jee kaua mbayaaa yani ana mzuka wa kucheza mpaka raha aisee. Beat imetulia mnoo yani ki ufupi inachezeka na...
6 Reactions
32 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…