Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kumsaidia mtu ni kumwambia ukweli, haijlishi ataupenda au hataupenda ila siku zote ukweli huweka kila kitu huru (Hua napenda sana huu mstari wa Kikiristo wa Yohana 8:32- Utaijua kweli na hiyo...
1 Reactions
119 Replies
19K Views
Dogo Janja amedai anampenda sana muigizaji wa Bongo Movie Irene Uwoya na amekuwa akimmezea mate tangia akiwa mdogo na ameweka picha zake nyingi magetoni kwake, anasema anatamani siku moja ifike...
5 Reactions
119 Replies
25K Views
Watanzania unafiki ni sehemu ya maisha yetu. Nadhani ni sababu mojawapo kwa nini hatuendelei. Pamoja na hilo kuna watu tusiojua kabisa kuhusu unafiki, we call a spade a spade, white colour white...
21 Reactions
233 Replies
28K Views
Hii kitu niliiiona siku nyingi ila leo nimeona Afande sele akimchamba Gsolo nikaikumbuka. Taarabu huwa ni nyimbo zilizojaa majisifu na kupakana maneno na Hiphop imejaa sana hizi ishu. Ukianza...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Mambo vipi wana JF! Hivi ile adhabu ya Mondi kula ban imeisha maana leo naona millard ayo kapost habari kumuhusu mondi pia na mic ya clouds ilikuwepo kwa pembeni kunyonya habari.... Ndio adhabu...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Huenda ungependa kufahamu kuhusu mwanamuziki wa kale Ludwig van Beethoven. Hayumkini ndiye mwanamuziki nguli wa wakati wote wa miondoko ya klasiki (classical music). Alizaliwa Ujerumani Disemba...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Kupitia ukurasa wake wa instagram diamond platnumz amemtakia Ali kiba Ndoa njema yenye baraka na furaha Tele! Kitu ambacho watu wengi hawakutegemea lakini diamond kakifanya hakika kweli Sanaa...
1 Reactions
86 Replies
14K Views
Nimekuwa mdau wa bongo movie kwa muda mrefu sana, tangu kipindi kile kina TID na JAYMOE walipokuja na movie yao ya GIRLFRIEND na wengineo wengi waliofuata. Nachoweza kusema kwa ujumla ni kwamba...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wanajamvi Nianze kwa kuweka msimamo wangu kwamba mimi sio mpenzi kabisa wa bongo flavor wala bongo movies. Naamini wengi walio kwenye hilo kundi kwa maana ya wasanii ni watu wa hovyo na mfano ni...
12 Reactions
22 Replies
6K Views
Wawili hao wataperform Wembley Arena London 02/06/2018. Artists wengine ni Teckno, Wande Cole, KCEE, Kiss Daniel, Niniola, Seyi Shay, Skales, Kranium. Show iko sponsoured na Black Bet. Tuwe...
15 Reactions
58 Replies
6K Views
Dj na legendary wa mziki aina ya EDM Electronic Dance Music AVICII kutoka Sweden amekutwa amefariki dunia hii leo uko Oman. Mnamo mwaka 2016 AVICII alitangaza kuachana na kufanya matamasha uku...
4 Reactions
28 Replies
8K Views
Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Abdul Naseeb maarufu kama Diamond Platinumz na Faustina Charles maarufu kama Nandy, mapema leo hii wamewasili katika ofisi za Mamlaka ya Mawasiliano...
0 Reactions
57 Replies
13K Views
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete washindwa kuhudhuria harusi ya mwanamuziki wa Bongo fleva nchini, Ali Kiba kutokana na kuwa na majukumu mengine. Hayo...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete wamesema hawataweza kuhudhuria harusi ya mwanamuziki wa Bongo fleva nchini, Ali Kiba anayetarajia kufunga ndoa na mchumba wake...
2 Reactions
56 Replies
13K Views
Msanii Afu Ra mnamo mwezi wa Kwanza alitua bongo kuja kufanya show lakini kwasababu ya maandalizi mabovu na promo ndogo, show ilishindwa kufanyika kwasababu watu waliohudhuria hata 50 hawakufika...
3 Reactions
31 Replies
4K Views
Je huyu ndo mrithi wa ROMA? Je hatafungiwa? #MzeeIchimbao
14 Reactions
152 Replies
27K Views
Wasanii wa Tamaduni music wanapaswa kujifunza kutoka kwa Zaiid na wimbo wake wa wowowo ambao unabamba kinoma hivi Sasa Wowooooooooo!!!!!
0 Reactions
27 Replies
7K Views
Wakati zikiwa zimesalia saa chache kabla mwanamuziki Alikiba hajafunga ndoa jijini Mombasa, imebainika kuwa ametumia mamilioni katika maandalizi ya sherehe hiyo. Mwandishi wetu aliyepo Mombasa...
15 Reactions
95 Replies
19K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…