Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Haki ya Mungu ni shida Bilali akihojiwa live na Sam Misago akana kwamba yeye ni shoga asema ye anapenda wanawake , video yake ilipoanza kucheza tu ikaanza kugoma kwa kweli laana hiii. Anasema...
1 Reactions
108 Replies
22K Views
Mjue Muigizaji na Mwanamuziki Grace B Jones aliyetamba miaka ya 1980's, haswa kwenye muvi za James Bond.....muvi kama A view to a kill, huwa namfananisha na Kenyan Actress, Lupita Nyong'o. GRACE...
4 Reactions
42 Replies
7K Views
Nyie Bongo movie, acheni utapeli. Mlichangisha rambi rambi kwa ajili ya kuwapoza wafiwa ili kipindi hichi cha majonzi ambacho hawawezi kutafuta hizo pesa ziwasaidie kusukuma siku. Sasa nyie...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni record ambayo ni ngumu kuivunja, ni rekodi ya ubora katika utayarishaji wa muziki wa hapa nyumbani!! Kuwa na nyimbo zaidi ya 80% katika chatt za muziki si jambo rahisi kama wengine wanavyoweza...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Kipindi hicho collage boy Second year 2008,nina bonge moja la Afro,hakuna wasap hakuna instagram simu za touch zilikuwa za kichina zina peni yake...ujanja ilikuwa kuban Cd Mp3,au kununua...
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Bongo bhana mambo yamekua marahisi saaaanaaaa.... Unaweza ukakaa kuudhania yule dada maarufu kipenzi cha watu anaeaminika ma mamilioni ya watanzania.. Da Mange kwamba ana bifu kuuuuubwa sana na...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Nauliuza , kwa kuwa huyu jamaa namsikia sana kwamba ana mkwanja si kitoto, hivi anaweza kufikisha 1million USD? Binafsi siamini kama anafikisha huo mkwanja lkn who knows?
2 Reactions
85 Replies
10K Views
Uganda tulimchukua Zari lakini alisepa mwenyewe,RWANDA tushachukua na Kenya tayari...Burundi subiri kidogo tutakuja huko sio ni MIDUME kutoka TZ
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Aaah enzi hizi tuli-enjoy sana bana
1 Reactions
37 Replies
27K Views
Mzazi mwenza wa msanii Ali Kiba, Hadija Hassan amefungua kesi ya madai dhidi ya msanii huyo baada ya kumtelekeza tangu mwaka 2017. Kesi hiyo imefunguliwa katika mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu...
1 Reactions
104 Replies
16K Views
Kwa habari za chini ya kapeti ni kwamba yule mzungu wa Harmonize (Konde boy) Sarah kwa sasa haambiwi wala hasikii kitu kuhusu mwarabu fighter yaani anampenda mpaka kapitiliza ,zile pesa alizokuwa...
0 Reactions
96 Replies
18K Views
Aisee nimejaribu kufatilia mapenzi yao kwa muda mrefu lakini nimeambulia patupu. Anayejua aniambie ile couple iliyotikisa kati ya Bi Sandra na kiben ten chake Mr Shamte imefikia wapi? Kwa maana...
1 Reactions
39 Replies
6K Views
JKL: Inspirational Thursday; Sal Davis worked with VOK(KBC) and BBC, 13/10/2016 Part 3 Meeting Sultan Qaboos of Oman, Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum of UAE Dubai...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
mchekeshaji maharufu aitwaye mpoki azua baraa kwa video aliopost kwenye account yake akiwa kitandani na mdoli.
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Kama umeshawahi kuwatazama wawili hawa kwa ukaribu utajua nini nasema, wamefanana mno kuanzia Dimpoz mpaka ufupi, Naomba kujua kwa wanaofahamu kama wawili hawa wana undugu wowote... Na je nani...
1 Reactions
10 Replies
46K Views
ERICK SHIGONGO afunguka baada ya chilambo kuachia wimbo wake wa only you Chilambo ni MWIMBAJI wa gospel asie na mbwembwe nyingi Hebu sikiliza mwenyew
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Rommy Jones amuahidi Wema Sepetu kwamba na yeye ataenda kusuka nywele mtindo wa twende kilioni ili afanane na Wema Sepetu. Uamuzi huo wa Rommy Jones umekuja mara baada ya Wema kupost picha akiwa...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Unajua akina Joti wameumiza watu na kuwaathiri kisaikolojia kwa kile kipindi chao infamous KUFULIA. Walizidi sana hadi walipigwa stopu. Lunyamila hana ugomvi na mtu wakamuigiza kafulia. Eti Vengu...
5 Reactions
43 Replies
9K Views
Back
Top Bottom