mgonjwa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2013
- 514
- 223
Haki ya Mungu ni shida Bilali akihojiwa live na Sam Misago akana kwamba yeye ni shoga asema ye anapenda wanawake , video yake ilipoanza kucheza tu ikaanza kugoma kwa kweli laana hiii.
Anasema anamiliki small cafe nafwaaaa vile vi mishikaki wanavyojazana mashoga na mashamkupe wa mjini wakati wanasubiri uwape michongo ndo unaita cafe... We Bilali haaaaaaa
Anasema anamiliki small cafe nafwaaaa vile vi mishikaki wanavyojazana mashoga na mashamkupe wa mjini wakati wanasubiri uwape michongo ndo unaita cafe... We Bilali haaaaaaa
Last edited by a moderator: