Kuna watu wamekuwa wakibeza tamasha la fiesta ambalo linaenda kuzinduliwa hapo kesho pale mjini Morogoro kwa kuangalia kigezo cha wasanii waliopo kwenye list...
Kwa kifupi hawa jamaa promo...
Huyu kaka hapana aiseehh!!naona kwa sasa anajaribu kumpaisha Irene aka officiallyn ili aje kulingana na wanawake waliopita kwake na mama watoto zake...
Siku za hivi karibuni amekua na mahusiano...
Mrembo kutoka kiwanda Cha bongo movies Wema Sepetu maarufu kama Tanzania sweetheart Leo anatimiza miaka 28 huku akizindua filamu yake mpya iitwayo D.O.D aliyomshirikisha msanii maarufu kutoka...
Hawa ndo wasanii watakao zindua rasmi msimu was fiesta 2018 jumamosi hii uwanja was jamuhuri kea kiingilio Cha 7000
Belle9
Fid Q
Nandy
Jolie
Malkia Karen
Whozu
Mr blue
Jaymolody
Janjaro
Z anto...
Akihojiwa katika kituo cha radio citizen nchini Kenya mrembo kutoka Tanzania hamisa Mobeto anasema alikuwa anajua Kama Diamond yupo na Zari na alikubali kufanya mahusiano yake na Diamond yawe ya...
Nilidhani akirudi kwenye utangazaji atambwera atakuwa outdated kumbe bado youko sawa anaweza rudi akashika nafasi yake maana naona kaungana leo na wenzake kwenye XXL chemistry iko sawa.
Kwa maoni yangu huyu jamaa ndio presenter bora kabisa kwa sasa among presenters wanao fanya vipindi vya entertainment anaijua sana kazi yake and he.likes what he is doing.
Bro Lil Ommy Tanzania...
Habari wakuu.
Nilikua napitia mkasa wa wa Lady Jay Dee kutaka kujiua nikaguswa sana na maneno aliyoandika pamoja na post ya member mwenzetu Watu8
Nini kinasababisha Lady Jay dee atake kujiua...
Siku si nyingi niliandika kuhusiana na kipaji cha LilOmmy nadhan macho yangu yalikuwa sawa na wengine hatimae muda umezungumza, na leo The Playlist ni kipindi chake cha mwisho baada ya hapo...
Hawa jamaa kwa kufanya promo hakuna anaye wafikia, kwa upande wa redio ni wabunifu sana sana.
Mfano walianzisha mtindo flani ambapo wanafanya matangazo kama vile wanapiga story mtu asipokuwa...
Sijui tatizo nini wadada wa mjini bongo wanalo...aiseehhh!!hata mtu unaemuona wa maana nae anakua mswahili mswahili kuendeleza vitaa..
Ishu ilianza miss Tanzania baada ya wolper kuliponda...
MAPENZI ni kikohozi kukificha huwezi! Na siku zote unapopenda unaweza kufanya lolote ili tu umfurahishe yule uliyenaye aone tu thamani yako au umuhimu wa kuwa na wewe. Kwenye mapenzi kuna...
Ndugu, jamaaa na marafiki pamoja na wadau mbalimbali wa huu mziki wa bongo fleva nnawaomba tusaidizane kulichambua hili game la bongo fleva.
Mtazamo wangu: game la bongo fleva linazidi kuwa gumu...
MWANAMUZIKI ambaye alishirikishwa kwenye Wimbo wa Nitarejea ya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Hawa Said hali yake imezidi kuwa mbaya baada ya kulazwa katika Hospitali...
Hawa majamaa wamefanana sana kama ndugu vile.
Letita wright ni Actress kwenye muvi ya Black panther as Shuri, Dada ake T'chala
Tulia Ackson naibu spika wa Subwoofer la Tzania pale dom..
Letita...
Mahakama ya Pennsylvania nchini Marekani imemshushia mvua ya kifungo cha kati ya miaka mitatu hadi kumi, mchekeshaji Bill Cosby mwenye umri wa mika 81, baada ya kumkuta na hatia ya kufanya...
Daah!!! Aisee huyu jamaa anajua good music... Namuelewa sana toka 'haya' mpaka huku anapoelekea.
Nsingependa kuongea sana wadau ningeomba mtafute mzigo wake mpya unaitwa 'kiss and love' ni hatari...
Yani Mdogowangu ungeanzaga hii shughuli miaka ya 2000 ungekuwa mbali kinyama
Ila usijali haujachelewa
Tunamshukuru sana Mheshimiwa Raisi kwa Kauli Mbiu yake ya hapa kazi tu.. naona vijana...