Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

kweli ukishangaa ya beyonce,utayaona ya drogba,drogba amewazawadia wachezaj wa chelasea pete zenye thaman ya pound 800,000 wachezaj wa chelsea. wapo watu wamesema hiyo pesa angesaidia...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Ame-tweet hii picha akiwa na misokoto mitatu kwa mpigo.
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Jamani nauliza eti hawa watu ni baba na mwana? maana nimezisikia hizi habari mtaani, naomba mwenye ukweli anijuze, lengo ni kufahamu tu maana hawa ni mastaa wetu wa bongo.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Maulidi Kwani lazima utumie nguvu? Hua amekua akitumia nguvu sana hasa vipindi vya asubuhi vya magazeti. Sasa kuna video clip zake hua anazitumia instergram, akiwa anaonyesha anavyotangaza, kwa...
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Mungu akupe umri mrefu Ni kazi yetu sisi vijana kuwaombea viongozi wetu. Mungu Ibariki Tanzania Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Msanii nguli nchini Tanzania Alike a maarufu KingKiba ametambulisha rasmi lebal yake ya King Music kwa kuachia nyimbo mpya ya pamoja akiwa na wasanii wake. Enjoy
3 Reactions
82 Replies
19K Views
Msanii Lady Jaydee ameamua kufunguka jinsi alivyoanza harakati zake za kuingia kwenye muziki enzi hizo. Akiandika mtiririko wa matukio kwa kadri ya kumbukumbu zake, amejikuta akikumbuka tukio la...
5 Reactions
72 Replies
10K Views
Leo Tarehe 26 January Miaka kadhaa nyuma Alizaliwa Home boy maeneo ya Usa River Arusha, Millard Ayo,Mr.Count down Dam dam milele Mwenye sauti yake na Warembo wake wa nguvu aka Mzee wa Madem(in...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Aisee.... mimi kwa upande wangu mwaka 2011 movies aambzo ni best kwangu ni: 1. COLOMBIANA 2. NIKITA 3. MISSION IMPOSSIBLE 4 4. ASSASINATION GAMES 5. FLASH FORWARD mkuu we ni movie zipi...
0 Reactions
131 Replies
13K Views
Msanii Wa Kiazazi Kipya Kingwendu Ameachia Wimbo Unaitwa Uke Ukerewe [emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwanamuziki kutoka Marekani Chris Brown amekamatwa na polisi jijini Paris Ufaransa kwa tuhuma za ubakaji. Imeelezwa kuwa mwanamke mmoja kudai aliwahi kumbaka. Kwa mujibu wa mtandao wa Closer...
4 Reactions
38 Replies
5K Views
Happy Birthday to international singer, Sade! She turns 54 years young today! Sade attributes her youthful look to her vegetarian lifestyle. While she doesn't do traditional workouts, she remains...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Rihanna is giving back to honor her late grandmother, who she called Gran Gran Dolly. According to E! Online, the singer has donated $1.75 million to the Queen Elizabeth Hospital in Bridgetown...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Rappers when they were! I wonder if their parents had any idea what was coming...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Mpambano uanze na kila baada ya reply kumi tunaweka msimamo.... Huku Mofaya πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ Huku Pepsi πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Poshi atowe tu siri yamafanikio nawale wenye povu muombeni poshy queen awape siri ... Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
58 Replies
11K Views
kati ya mvuta bange na shoga nani unamkubali....?? yani assume wewe ni mzazi ukaambiwa uchague kati ya hao wawili ungewish kuwa na mtoto wa namna gani??
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ule mdundo kicks na drums kazigonga Soggy Doggy. Gitaa kalipiga mzungu kichaa na piano kaipiga jamaa mwingine kabisa. Tena Pfunk alikuta soggy na mzungu kichaa washafanya yao akaiona kali...
7 Reactions
62 Replies
11K Views
When will I see you again? You left with no goodbye, not a single word was said , No final kiss to seal any sins, I had no idea of the state we were in , I know I have a fickle heart and...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…