Balozi wa Mofaya Vs Balozi wa Pepsi nani mkali?

Dong Jin

JF-Expert Member
Jun 4, 2018
754
1,442
Mpambano uanze na kila baada ya reply kumi tunaweka msimamo....
Huku Mofaya πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Huku Pepsi πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Mkali wa nini..? au ukali wa ladha ya kinywaji..?
uzuri wa ladha ya kinywaji unategemeana na mnywaji

Na mjadala wako umebase kwenye brand ya vinywaji na sio umiliki wala ubalozi
Diamond-Ni balozi tu wa muda wa kinywaji
Alikiba-Mmiliki mwenza wa kinywaji

Pepsi-kinywaji kinafahamika dunia nzima, na ni brand kubwa
Mo Faya-Ni brand ambayo ndio imeanza na haijafahamika sana

Sasa wewe unaleta mjadala wakizwazwa
 
Nani kakuambia kiba ni mmiliki mwenza? Akilinya mazwazwa inajijuaga.... nazimia hapa km alikiba ana umiliki wowote aa Mofaya
 
Mkali wa nini..? au ukali wa ladha ya kinywaji..?
uzuri wa ladha ya kinywaji unategemeana na mnywaji

Na mjadala wako umebase kwenye brand ya vinywaji na sio umiliki wala ubalozi
Diamond-Ni balozi tu wa muda wa kinywaji
Alikiba-Mmiliki mwenza wa kinywaji

Pepsi-kinywaji kinafahamika dunia nzima, na ni brand kubwa
Mo Faya-Ni brand ambayo ndio imeanza na haijafahamika sana

Sasa wewe unaleta mjadala wakizwazwa
mmiliki mwenza?? Mo faya ipo sehemu nyingi africa na wanatumiwa wasanii wengi kama ilivyo kwa kiba na kiba ni balozi wanaeza mtema wakampa hata mbosso.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkali wa nini..? au ukali wa ladha ya kinywaji..?
uzuri wa ladha ya kinywaji unategemeana na mnywaji

Na mjadala wako umebase kwenye brand ya vinywaji na sio umiliki wala ubalozi
Diamond-Ni balozi tu wa muda wa kinywaji
Alikiba-Mmiliki mwenza wa kinywaji

Pepsi-kinywaji kinafahamika dunia nzima, na ni brand kubwa
Mo Faya-Ni brand ambayo ndio imeanza na haijafahamika sana

Sasa wewe unaleta mjadala wakizwazwa
Fact
 
Back
Top Bottom