Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Habari njema kwa Team zari ni hii , Mama Tee, aka zari the bosslady , mrs King D atatua nchini Tanzania jumamos hii(Tarehe 4) kama balozi wa diapers za softcare kutangaza bidhaa hizo ambapo pia...
0 Reactions
0 Replies
870 Views
Hivi huyu bidada alishawahi kuimba before ? Maana mmh hii ngoma yake kwa kweli ni next level , sijawah kumpendaga huyu dada Ila kazi yake hii mpya , warumi ntakua mchawi nisipomsifia bwana , dada...
6 Reactions
24 Replies
4K Views
Kumbe Pamoja na Umbufi ambao huyu jamaa alifanya kwenye historia ya Ottoman, kiasi cha juzi kusababisha vilio kwa wapenzi wa Tamthila inayogeza maisha yake ya Sultani inayorushwa AZAM TV, naona...
0 Reactions
0 Replies
768 Views
Kumbe Pamoja na Umbufi ambao huyu jamaa alifanya kwenye historia ya Ottoman, kiasi cha juzi kusababisha vilio kwa wapenzi wa Tamthila inayogeza maisha yake ya Sultani inayorushwa AZAM TV, naona...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF. Naomba kuuliza yupo wapi yule mshindi wa maisha plus season 1, aliejulikana zaidi kwa jina lake la kwanza yaan ABDUL. Kwa yeyote anaejua, naomba atujuze alipo huyu jamaa...
0 Reactions
28 Replies
10K Views
Straight to the topic, Wakuu katika pitapita zangu youtube nimekutana na video ya siku za nyuma kidogo (kama 5yrs back) ikimuonesha mwamba Rick Ross akipaform jijini Dar es salaam...
0 Reactions
0 Replies
547 Views
Waswahili wanasema ukiona mtu anajifanya hakupendi alafu kila siku anafuatilia maisha yako kila unachofanya basi jua huyo ni shabiki yako mzuri tu Basi ndivyo ilivyo kwa mange kimambi, huwa...
6 Reactions
36 Replies
4K Views
Rejea zako tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha haraka kama siyo upesi sana anza Kutiririka na Kuserereka zako juu ya kile unachokijua juu ya ' Umaarufu ' wa ghafla na uliokuwa wa ' Kimvumo ' zaidi...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Wasalaam, Ama baada ya Salamu Mimi ni mzima wa siha muruwa kabisa, hofu na mashaka ni kwenu mlio mbali na upeo wa macho yangu. Dhumuni ya waraka huu ni kutaka kujua je ni uhujumu uchumi au ni...
5 Reactions
27 Replies
7K Views
Najua huku kuna wapambe wa karibu na Alikiba, King Kiba. Najua pia King Kiba ni muumini mzuri tu wa dini yake ya kiislam, bila shaka anafuata mafundisho yake ya kidini vizuri. Ni wakati muafaka...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi wanazengo, Nyumba kweli ingekua ya Diamond , akina Bi Sandra wangeacha kukanyaga south kweli kila siku wale?, na kama tunavyomjua domo, for all this while wakat wameachana , bila shaka...
27 Reactions
292 Replies
27K Views
Mwanamuziki Wax Dey ambaye ni African Award Winning Super Star toka Nchini Cameroon ameachia Nyimbo Mpya inayoitwa "MAGUFULI". katika kibao hicho kipya alichowashirikisha Ma-Superstar wengine...
3 Reactions
44 Replies
6K Views
1.ROWAN SEBASTIAN ATKINSON(MR BEAN) Alizaliwa 6th Jan 1955 Uingereza.Ni mchekeshaji, mtayarishaji wa filamu,na muandaaji wa vipindi vya filamu.Mtindo wake ni kuchekesha akijifanya kama taahira...
4 Reactions
9 Replies
6K Views
Hawa madogo wote wanachana na wote ni wakali. Ila kwa mtazamo wako binafsi, unahisi nani anaweza kumshinda mwenzake? Kuanzia uandishi, flow, mpaka swagga. Au unaweza kuwaorodhesha vipi kuanzia wa...
0 Reactions
28 Replies
9K Views
Nani anaikumbuka hii ngoma? Rest in Peace Marvin.
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Hiki ni kionjo cha wimbo alichopost rayvanny katika account yake ya IG ikionesha wakiwa studio na mzee wa Konki fire, likwid au pierre... Je utakuwa hit song au kaboronga? Toa maoni yako.....
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Binti anatumia page zake vibaya sana ipo siku anaowachafua watamchoka then atakuja kuchezea makofi
1 Reactions
133 Replies
13K Views
Inaonekana wazi aliekua kimada wa mwanamuziki wa bongo fleva Nassib Abdul,Zarina Hassan Tlale,hakujiandaa kwa shambulio la kustukiza kutoka kwa baba watoto wake huyo. Kwa sasa Zarina na genge...
19 Reactions
147 Replies
15K Views
Miaka ya 2000 tamthilia ya Kaole walikuwa wako juu sana. Wengi bado tunawaona kwenye movie na tamthilia. Lakini kijana aliyekuwa anaigiza kama muhuni na mwizi,rafiki yake na Swebe sijawahi kumwona...
4 Reactions
15 Replies
3K Views
Kasikika mlevi moja ao kicha wa team kiba kasema eti diamond kashuka sana kimziki eti kuliko kwenda kutumbwiza dar ao kigoma yeye anaenda huko south Korea ...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…