Mtanzania Mkenya
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 238
- 387
Hawa madogo wote wanachana na wote ni wakali. Ila kwa mtazamo wako binafsi, unahisi nani anaweza kumshinda mwenzake? Kuanzia uandishi, flow, mpaka swagga. Au unaweza kuwaorodhesha vipi kuanzia wa kwanza hadi wa mwisho? Ushauri gani unaweza kuwapa mmoja baada ya mwengine ili wajiendelezeshe zaidi?