Nampa bonge la support Ali kiba kwa kutofanya album review na hao presenters wa clouds fm. Hao jamaa ni mafisadi wakubwa kwenye game la mziki Tanzania na kutopeleka cd yake ni ujasiri...
Baada ya kuachana na mlimbwende Tunda sasa Mtangazaji Clouds TV, Casto Dickson amejikita kwa mtangazaji wa EATV, Suzie Benard ambaye kwa muda mrefu alikuwa mpweke hali iliyompelekea aanze kuongea...
Kweli pesa ni kila kitu.Hizi ndio pesa na raha yake,sio wale watani zangu wa Nyanda za Juu Kusini,unakuwa na pesa halafu mke unamuweka kama "msukule" anakaa tu dukani siku nzima.
Bata mara moja...
Ijumaa hii kutoka rockstar Alikiba aliachia ngoma mpya iitwayo MBIO ikiwa sambamba na video yake... Usafini nako kutoka kwa Lavalava aliachia ngoma ijulikanayo kama HATUACHANI ikiwa ni audio...
Katika Ma comedian ambao wana kipaji cha kutisha, huyu jamaa ni namba moja , especially akiuvaa uhusika wa MAMA IMA, aiseh huwa navunjika mbavu kwa kweli , jamaa sijui anawazaga nini , yani...
Kuna baadhi ya wasanii walitamka waziwazi na wengine kwa kificho kwamba aliekuwa mkuu wa vipindi na uzalishaji wa Clouds Media marehemu Ruge Mutahaba alikuwa kikwazo wao kushine na kupiga hatua...
Jamani nikimuangalia Lucy nakumbukaga tu lile balaa lake siku ya harusi na mzungu 🤣🤣🤣🤣. Wenyewe wameenda zao sijui mbudya wenyewe kuturusha roho wanazengo, wakapanda boti, shoga angu akawa busy...
Kumbe Pamoja na Umbufi ambao huyu jamaa alifanya kwenye historia ya Ottoman, kiasi cha juzi kusababisha vilio kwa wapenzi wa Tamthila inayogeza maisha yake ya Sultani inayorushwa AZAM TV, naona...
Wiki kadhaa zimepita hamisa alikua na skendo ya kwenda kwa mganga, habari ikiwa ni kumloga mama dangote ili ampende na pia mzazi mwenzie wa pili diamond platinum ili amuoe na ampe nyumba kwani...
To be honest kuna watu mpaka wafe ndo utasikia flani alikuwa anajuwa sana kuimba. Akisha kufa sifa zake ndo zitasambaa mpaka utajiuliza walikuwa wapi kuaappreciate machango wake akiwa bado yupo...
Soulja Boy afungwa jela miezi nane, wezi nao wamtenda
Rapa Soulja Boy amehukumiwa kifungo cha miezi nane jela na siku 265 za kufanya kazi za jamii kwa kosa la kuvunja masharti ya kipindi cha...
Kumbe Pamoja na Umbufi ambao huyu jamaa alifanya kwenye historia ya Ottoman, kiasi cha juzi kusababisha vilio kwa wapenzi wa Tamthila inayogeza maisha yake ya Sultani inayorushwa AZAM TV, naona...
Ukitazama Muziki wetu unapotupeleka kama jamii kimsingi ni kubaya sana.
Wasanii kama ni kutumika na ibilisi kuhalalisha ushoga basi ni kipindi hiki.
Tumeelekeza vidole vyetu kwa mashoga...
Hadi sasa bado ni fununu tu,inawezekana ikawa kweli au ikawa kick maana jamaa mwenyewe ashapotea ndiyo njia za kurudi kwenye spotlight hizi halafu ghafla unasikia katoa nyimbo
Wadau kila nikisikiliza bwana Kitenge a.k.a chumvi akiwa anadadavua magazeti akiwa huko nje ya nchi amabpo mara kwa mara huenda akiwa anapokea link ata aknowledge watangazaji wote kasoro Gerald...