Ali Kiba uko juu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ali Kiba uko juu

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Mtoto wa Kishua, Oct 27, 2009.

 1. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2009
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 819
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Nampa bonge la support Ali kiba kwa kutofanya album review na hao presenters wa clouds fm. Hao jamaa ni mafisadi wakubwa kwenye game la mziki Tanzania na kutopeleka cd yake ni ujasiri mkubwa.

  Tunajua Ali Kiba ,utabaniwa sana tuu na hao ila usikonde tuta ku support tuu ,maana walishaanza kutuma msm zikisema , masuala ya kukosa udhamini wa makampuni makubwa ya Tanzani. Tunajua wazi hakuna kudhaminiwa wala nini ni utumwa wa ujanja wa hawa jamaa tuu na ubabaishaji.
   
 2. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hahahahahaha great promotion!....i like your style!......
   
 3. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  dogo ana kili sana huyu na pia ni mjanja
   
 4. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  mpaka sasa umeshampa suport gani ?
   
Loading...