Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Nasikitika Sana kukuona Dada yangu mziki unavyokupoteza mpaka unavaa nguo zisizo na staha. Mbaya zaidi wewe ni muislamu na waislamu wenzako wanavaa Kwa staha. Am so Disappointed . Why why why...
3 Reactions
139 Replies
11K Views
  • Redirect
Zuchu ndiye mwanamuziki wa kwanza wa kike Mashariki kupata watazamaji milioni 100 katika Youtube Mwanamuziki wa Tanzania Zuhura Othman , al maarufu Zuchu amekua mwanamuziki wa kwanza wa kike...
0 Reactions
Replies
Views
Akiwa na miezi 7 tu kwenye game, Zuchu kwa sasa ndio msanii wa kike namba moja YouTube. Amefikisha subscribers 547.
4 Reactions
53 Replies
4K Views
Kwa mujibu wa YouTube ambayo ndio platform fair kwa sasa Tanzania kupima nguvu ya msanii. Zuchu ndio msanii namba moja kwa sasa. Amefanikiwa kukamata chati za Youtube kwa akaunti yake mwenyewe...
1 Reactions
66 Replies
28K Views
  • Redirect
Wakuu nipo Mombasa kikazi Sasa nyumba ya mwenyeji wangu niliyefikia n MZANZIBAR kwakuzaliwa ila n raia wa Kenya Sikujua Kama mwenyeji wangu anaundugu wa karibu na bi Khadija kopa narud kwa...
6 Reactions
Replies
Views
Hatimaye zamu ya Zuchu imewadia. Mtoto wa Khadija Kopa rasmi sasa kutambulishwa Wasafi. Amekaa benchi kwa miaka karibu mitano. Ukubwa wa kipaji chake ni Jide+Nandy+Vanessa Mdee. Tanzania...
9 Reactions
186 Replies
24K Views
Zuchu nilikuwa nakaonaga katoto ka 2000 tu kumbe ajuza wa kwenda, sasa hapa mbona kama team ya WCB imefeli pakubwa maana kwa umri wa Zuchu hata akichuana na Tyla hatoboi hata kidogo, age imeenda...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Salaam! Msanii pekee wa kike kutoka wcb amekuwa akitoa mfululizo wa nyimbo ambazo kiutamaduni zinaathiri kizazi chetu cha baadae "honey wangu akinuna namkatia mabuno" imagine watoto wangapi...
27 Reactions
107 Replies
6K Views
I'm highly disappointed in her. She is too young to be this stupid.. It is too early.. Wakati mwingine najiuliza WCB wana mikataba na nguvu gani... Wanaimba matusi lakini bado wanasurvive. Hovyo...
35 Reactions
128 Replies
13K Views
Kwa msanii mkongwe kama Ali Kiba kushindwa kumpiku Zuchu ni aibu kubwa sana. Inamaana Zuchu amekuwa mkubwa kuliko Ali Kiba? Ni maswali tu wanayojiuliza wataalam wa mambo ya muziki.
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Habarini wana jamvi? Natumai mu wazima wa afya. Hii imetokea Leo Zanzibar ambapo Zuchu bin kopa Kama The Best female east Africa musician alipotoa performance Kali sana pale viwanja vya mnazi...
6 Reactions
100 Replies
8K Views
Huyu Zuchu anaenda kuwa kioo cha Utunzi wa Nyimbo za kuchochea maendeleo maana ana Melody Kali sana pamoja na Utunzi wa Hali ya juu, najua NANDY ataiga tu na yeye kutoa maana anatembeleaga upepo...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
Hivi majuzi nilisikiliza interview ya Sallam SK kupitia kipindi cha The Switch cha Wasafi FM nikajifunza jambo -- kuwa kumbe si kila msanii yupo tayari kunyakua kila dili linalowekwa mezani, no...
7 Reactions
41 Replies
5K Views
Mchana wa leo msanii wa kike kutoka lebo ya wasafi amesaini mkataba wa kuwa balozi mpya wa mtandao wa zantel ambao sasahiv wanakampeni Yao ya internet yenye kasi ya 4G
7 Reactions
35 Replies
4K Views
Malkia wa bongofleva Zuchu ameweka rekodi ya kukaa namba moja trend kwa wiki zaidi ya mbili. Na masaa matano baada ya kutoa wimbo mpya umeenda moja kwa moja kushika namba mbili kwenye trend. Kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Leo record mpya imeandikwa na Zuchu katika bara la Africa. Amekuwa msanii wa kwanza wa kike kufikisha views million 1 kwenye YouTube ndani ya masaa 22. Hongera queen wa bongofleva.
6 Reactions
36 Replies
5K Views
Muimba taarabu anayezid kujiwekea rekodi mbalimbali Juzi amefikisha subscribers laki 5. Amefikisha watazamaji MILLION 55 YouTube. Amekuwa ontrending said ya mwezi sasa. EP yake inaongoza kwa...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Last born kutokea WCB anaendelea kutikisa nyavu za Bongo Fleva baada ya kutengeneza rekodi mpya huko Boomplay. Ile EP yake ya I AM ZUCHU imeshafikisha streams Milioni 10 Kwenye App Ya Boomplay...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Zuchu ndani ya Yeezy. Amevaa boda boda mbili mguuni.
12 Reactions
123 Replies
12K Views
Back
Top Bottom