Zuchu inatakiwa apewe Utunzi wa Nyimbo zote za Serikali, hit song ya Kazi Iendelee haina mfano

Kigoma Independent

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
3,519
2,047
Huyu Zuchu anaenda kuwa kioo cha Utunzi wa Nyimbo za kuchochea maendeleo maana ana Melody Kali sana pamoja na Utunzi wa Hali ya juu, najua NANDY ataiga tu na yeye kutoa maana anatembeleaga upepo wa malikia wa afrika kwa Sasa Zuchu .

Najua watu watabisha Ila ukweli lazima usemwe maana hakuna namna kabisa ko salute kwa WCB kwa kumleta huyu kiumbe ambaye hata lady Jayden amesakimu amri
 
Back
Top Bottom