Diamond atakuwa kesho kwenye kipindi Cha good morning Cha Wasafi FM kinachorushwa kuanzia saa 11 mpaka saa 2 na nusu Asubuhi kutoa muongozo katika namna ya kupata msaada wake wakulipia Kodi ya...
Kwa mujibu wa jarida la Forbes, Kanye West ana utajiri wa Dola Bilioni $1.3 na kumfanya kuwa msanii wa Hip Hop mwenye mkwanja mrefu zaidi kwa mwaka 2020.
Asilimia kubwa ya mkwanja huo, Kanye West...
Huu ni ukweli unaomiza tumeshamuona Diamond akipiga hatua kumi mbele ya Alikiba akaja akamtoa kijana Harmonize ambaye nae amepiga hatua tano mbele kwa Alikiba.
Hapa nazungumzia hatua za kimuziki...
Kwa wale hater's utasikia Ooh wasafi wamewahonga Apple Music.
Lakini kiuhalisia huko nje ya nchi ukizungumzia mziki wa bongo fleva basi unazungumzia Diamond Platnumz na his own team WCB Wasafi...
Leo mama Dangote kaposti ndinga zote zilizokua home kwa Diamond ikiwemo prado ambayo Tanasha alipewa zawadi siku ya kuzaliwa.
Baada ya kuachana Tanasha karudi kwao ila inaonekana gari bado iko kwa...
Baada ya kufanya vizuri kwenye wimbo wa iokote alioshirikishwa na Maua Sama, huyu kijana yupo kimya sana.
Kinachonisikitisha zaidi kijana ana sauti nzuri na unique kama baba yake mzazi
Mlio...
1. Airport - Alikiba alikuwa amaetoka kuchukua tuzo, alipofika uwanja wa ndege Harmorapa alitaka kumzawadia t shirt ila Kiba aliikataa na kufunga kioo cha gari, Ila huenda kwasababu alikuwa na...
Habari zenu wakuu.
Naomba tushauliane hapa, yawezekana hili naliona peke yangu.
Kwanini wasanii wa bongo fleva ikitokea msanii akavuma sana ndo unakuwa mwanzo wake wa kupotea?
Mbona wenzetu wa...
Wasalaam!
Baada ya Harmonize kuondoka Wasafi tulitegemea Diamond atochukua hatua ambazo hutumiwa na wamiliki wa Radio nyingine wanapo tofautiana na wasanii!
Diamond amekuwa dictator mwingine...
Namuangalia hapa live ananikosha sana, huyu ndo amekuja kuperfom sasa.
Harmonize: Simlaumu sana kwavile ndio show ilikuwa inaruka kwa mara ya kwanza, alichokosea muda mwingi aliutumia kuimba...
Hizi story nazisikia sana kuwa fid ni marioo kuwa anaish kwa kulelewa ni binti wa kizungu hivi story ni za kweli maana kama siziamini ivi....coz kina ngosha hatuna izo sifa
Msanii Rayuu katika picha.
Msanii anayekuja juu kwenye filamu Alice Bagenzi ' Rayuu' amekiri wazi kuwa usagaji si mapenzi haramu na kwake anaona ni mazuri kwani...
Nimekua nikiona mara kwa mara hivi karibuni event nyingi za harmonize basi Cloud's TV na TV-E wanarusha live,tofauti na vituo vingine,
Na hata Show's nyingi bure za pale nyuma kidogo baada ya...
Huwa nawashangaa sana wasanii wa vichekesho aka comedy.
Wanapokuwa wakiigiza kama wanawake! Hivi huwa wanajisikiaje? Inaamaana hakuna wanawake wanaoweza kumudu uhusika katika scene hizo?
Wanavaa...
By Sangu Joseph
.
Agosti 2019 : Harmonize alijiondoa WCB (Salam Alithibitisha)
Januari 2020 (Harmonize alisaini mkataba wa kazi na Sayona (Endorsement) )
Januari 2020 - Harmonize akaanza Tour /...
COVID-19: Austrian Wrestler Converts to Islam while in Lockdown
Austrian wrestler, Wilhelm Ott, has pronounced the shahada (Islamic declaration of faith) while observing social distancing at home...
Msanii Nandy asifia uwezo wa Zuchu kimziki "Mimi Kama mwanamziki inaweza kuwa ngumu kusifia kazi za mwenzangu lakini kwa Zuchu kiukwel anajua Sana, Cha msingi ajitahidi kufanya vizuri atafika...
Tukiwa tuna throw back thursday.
Tujikumbushe Shilole alivyokuwa msanii wa kwanza kulamba diili nono ya kuwa ambassador wa CRDB.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania wengi wanatatizo lakuwa wanafiki na wasio na shukrani hata kidogo, nimeona wengi wakiiponda BSS na wengine kwenda mbali zaidi kuitukana na kutoa lugha chafu juu yao Cha ajabu mpaka...