Ni wapi uko nikaupateUnapenda umbea ila hujui pa kuupata, kazi kweli
Wanasema lisemwalo lipowabongo bhn!! ukiwa na demu wa kizungu bac anakulea
Hujazisikia mkuu hizi habariKumbe ni story...
Kwani mtu akiishi na mzungu analelewa? Acha wivu na wewe ukitaka mzungu fuga rasta.Hizi story nazisikia sana kuwa fid ni marioo kuwa anaish kwa kulelewa ni binti wa kizungu hivi story ni za kweli maana kama siziamini ivi....coz kina ngosha hatuna izo sifa
Kwahio blaza umataka kuniambia Fareed hajimudu kiuchumi mpaka afikie hatua ya kulelewa?Wanasema lisemwalo lipo
Kwa akili yako finyu unaamini kama fid Q ana uwezo wa kumuhudumia uyo mzunguKwanini unaamini huyo mzungu ndiyo anamlea na sio Fid q anayelea familia?
Nyie ndiyo kila mzungu mkimuona mnadhani ni tajiri kumbe njaa kali.
Unafaa kupuuzwaFid Q ndio nani na Marioo ndio nini? wengine hatuwajui hao watu.
We uñgéküwà karibu ningeku kitasaFid Q ndio nani na Marioo ndio nini? wengine hatuwajui hao watu.