Nipo najiuliza hapa kwanini watu muhimu wenyevipaji na maono makubwa katika jamii huwa wanamaisha mafupi sana katika dunia yetu hii.
Hao ni baadhi tu ambao nimependa kupigia mfano hapa lakini...
Taarifa kutoka Zanzibar zilizopatikana zinaeleza kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa EFM na TVE, Francis Ciza maarufu kama Majizzo amepata ajali mbaya ya gari iliyopelekea vifo vya watu wawili.
Tukio...
Katika mahojiano yaliyofanyika siku ya jana kati ya Ayo tv na mwanamuziki Chid Benzi, mwanamuziki huyo ameeleza wazi kuwa yuko njiani kutangaza ndoa.
Ameyasema hayo baada ya kutoka soba katika...
Sanii wa nyimbo za injili na mchungaji ametangaza kuwa yupo kwenye mahusiano serious na mtu mwenye wivu na asiyetaka kuonekana .
Awali ndoa yake ya muda na mme wake mbaye pia ni mchungaji...
Aaaargh watu wana maana? Hamna kitu. Dogo anashindwa vitu vidogo tu watu hata ndoa haijafika mwaka tayari... Dogo anashinda analia tu wana wana mbembeleza. Katoa talaka 3 kaona hazitoshi...
Ndugu zangu mafanikio hayakufuati ukiwa umeketi nyumbani kwako, lahasha, ni lazima uyafuate tena kwa juhudi ya hali ya juu.
Star wa bongo fleva Diamond Platnumz ni miongoni mwa vijana...
Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Zuchu ameibuka hadharani kulalamikia waandaaji wa Tamasha la CHAN 2025 kwa kushindwa kumlipa malipo kamili ya onyesho alilofanya jijini Nairobi, Agosti 30, 2025...
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, wahenga walipata kunena.
Mwanamama Evelyn Miller mwenye miaka 31, Mkazi wa nchini Austarilia amestaajabisha kwa kusema wazi kwamba amejaaliwa nyuchi...
Huyu jamaa alijichulia umaarufu sana hasa Jijini Arusha na hata Moshi, alikuwa ni Polisi matata hapo Arusha na ni korofi na mbabe sana, Swali kwa anayemjua, Je! Yuko wapi siku hizi? Yu hai kweli...
Alikamwe amekaa kushabikia timu yake huku akisahau wajibu wake kwa mkewe bwana alikamwe anadai kuwa mkewe alimcheat
Ndoa sio kitu cha kukimbilia hovyohovyo ndoa hata miezi 3 haijaisha
Au...
Huu uandishi mnau-rate ngapi kwa scale ya 1 mpaka 10 wanajamvi.
Kumbe ndiyo maana haandikagi sana mitandaoni..
Ni bora aendelee kukaaga kimya tu, amfichie hizi aibu ndogondogo huyo overrated...
Katika interview ya mwanamuziki wa hiphop kutoka Tanzania Bwana Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro maarufa kwa jina Chid Benzi aliyofanya na Ayo tv siku ya jana ameeleza safari yako ya maisha tangu...
Mwanamziki wa hiphop Chid Benzi katika mahojiano aliyofanya na Ayo tv ameeleza kuwa chanzo cha yeye kujihusisha na madawa ya kulevya ni mapenzi na wala si muziki kama wengine wanavyodhani. Katika...
Mwanzo Aristotle alikuwa ni msusi wa wanawake, baadaye akajiongeza kuuza weaving na wigs na wateja wake walikuwa ni mastar wakubwa na celebrities wa Tanzania wa hapo Dar-es-Salaam. Aliupata...
Mke wa mwanamuziki Akon, Tomeka Thiam ameomba talaka baada ya kuwa kwenye ndoa kwa takribani miaka 29.
Kwa mujibu wa taarifa ya mtandao wa TMZ, inaeleza mke wa Akon aliwasilisha kesi ya kudai...
Katika ulimwengu wa muziki wa Injili ndani ya Afrika ya Mashariki, jina la Phyllis Mutisya limekuwa likihusishwa na sauti tamu ya kumwinua mtu kiroho pale madhabauni. Mwanamama ambaye amekuwa...
Flora Mbasha afunguka mazito mpaka mengine hayawezi elezeka kuhusu mumewe Mbasha, ni hatari sana nimefikia uamuzi wa kudai talaka kutokana na kuchoshwa na vitendo vya ukatili nilivyokuwa nafanyiwa...