Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Hivi wakuu kuna msanii anaemzidi Harmonize yaani Kila nikiangalia hata wale wa zamani naona hamna kitu Sidhani ata kutakuja kutokea kama huyu mwamba Konde Boy. Bongofleva haimdai hata akifa leo...
8 Reactions
102 Replies
4K Views
Katika mahaojiano ya mwanamuzi wa HipHop Chid Benz amemeonyesha hali ya kumkumbuka na kumkubali mwanamuziki mwenzake wa zamani Saida Karoli na kuwaomba Ayo tv wmtafute na kufanya nae mahojiano...
3 Reactions
6 Replies
678 Views
Zimetokea bifu maarufu sana za mastaa hapa nchini na zikajizolea umaarufu 1. Ruge na Sugu Hii ilikuwa bonge la bifu. Baada ya Sugu kumtolea mbovu Rugs na unyanyaji wake wa fiesta 2 TMK halisi...
8 Reactions
103 Replies
5K Views
Mpiga picha namba moja wa wasanii nchini Tanzania ambae pia ana ushawishi mkubwa sana Instagram, Ashraf Lukamba ametuma ujumbe wa kumlilia Polepole. Lukamba mwenye followers zaidi ya million...
13 Reactions
49 Replies
2K Views
"Wasanii mmeshuka sana aisee yaani hata wale ambao walikua wana heshima kidogo na nyie mmegeuka machawa but why ? Jamani njaa ya miezi michache isitoe heshima yako ya miaka yote" — Faiza Ally
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Mwigizaji Jacqueline Wolper ameeleza kuwa ameumizwa sana na jambo lililotokea jana Septemba 15, 2025 kati ya wanachama wa Chadema na polisi katika viunga vya mahakamani, kwenye kesi ya Tundu Lissu...
7 Reactions
15 Replies
997 Views
Huyu mwanadada Jennifer Jovin(Niffer) ambaye kwa sasa ndio mwanamke mwenye IQ kubwa ya upambanaji ukilinganisha na vijana wenzie kama Zuhura wa Mondi, atahakikisha anawainua vijana wenzake...
18 Reactions
77 Replies
4K Views
Msanii wa Bongo Fleva, Rashidi Makwiro ‘Chid Benz’ alipozungumza na Clouds TV, jana Septemba 3, 2025 amefafanua aina ya madawa ya kulevya ambayo yanatumiwa na watu wengi, akichambua pia tofauti ya...
8 Reactions
59 Replies
4K Views
Mimi ni mpenzi wa Rap, ndio mziki unaosuuza moyo wangu sana kuliko miziki yeyote ya kidunia. Nilikuwa kila nikisikia habari za Chid Benz na Jose Mtambo nasikitika sana. Sababu hawa ndio watu...
0 Reactions
3 Replies
270 Views
Huo ndiyo ukweli huwezi kuwa na njaa ukapata ujasiri wa kuimiliki simu na kuilisha wakati wewe huna chakula. Bigup King Kong ujumbe umefika!!
0 Reactions
2 Replies
297 Views
Pumzika kwa amani mwanangu, Kapteeeeeeeeeeeni G Habash https://www.jamiiforums.com/threads/gardner-g-habash-mtangazaji-wa-clouds-media-afariki-dunia.2205794/
0 Reactions
0 Replies
262 Views
Sean “Diddy” Combs ameandika barua kwa Jaji Arun Subramanian akimuomba huruma kabla ya hukumu yake kusomwa leo Ijumaa, Oktoba 3, 2025. Msanii huyo alipatikana na hatia mwezi Julai kwa makosa...
2 Reactions
6 Replies
607 Views
Star wa muziki, Diamond Platnumz, ameamua kutumia siku yake ya kuzaliwa kutoa msaada wa kiasi cha TSh 37 milioni kwa Producer Bakteria, ambaye kwa sasa anapitia changamoto za kiafya baada ya...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
Dani Alves alihukumiwa kwa kosa la KUBAKA (RAPE). Kapoteza zaidi ya siku 800 jela Mke alimkimbia Kapoteza deals za udhamini na endorsement kapoteza heshima yake alipoteza kazi yake Mwanamke...
11 Reactions
42 Replies
2K Views
Davis Elisa Mosha, kijana kutoka familia ya kipato cha kawaida. Mzaliwa wa Kiborloni Moshi. Davis Mosha historia yake inaonyesha hakupata elimu kubwa (aliishia form four). kazi ya mwanzo ilikuwa...
3 Reactions
80 Replies
92K Views
Juzi akiwa anasherehekea birthday Wema akadai kuwa ana miaka 33. Lkn vyanzo vingine vya taarifa za kuaminika zinaonesha tofauti. Mfano Wikipedia inaonesha Wema amezaliwa 1988 na kumfanya Wema...
6 Reactions
136 Replies
13K Views
Mwanamuziki wa Uingereza na aliyewahi kushiriki Britain’s Got Talent, Natalie Okri, amezua gumzo baada ya kudai kuwa baadhi ya wigs za nywele halisi huleta mikosi na bahati mbaya. Katika video...
6 Reactions
12 Replies
682 Views
Nipo najiuliza hapa kwanini watu muhimu wenyevipaji na maono makubwa katika jamii huwa wanamaisha mafupi sana katika dunia yetu hii. Hao ni baadhi tu ambao nimependa kupigia mfano hapa lakini...
3 Reactions
51 Replies
2K Views
Taarifa kutoka Zanzibar zilizopatikana zinaeleza kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa EFM na TVE, Francis Ciza maarufu kama Majizzo amepata ajali mbaya ya gari iliyopelekea vifo vya watu wawili. Tukio...
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…