Lana Rhoades, aliyewahi kuwa nyota wa filamu za watu wazima (porn); anasema kuwa
alipokuwa na umri wa miaka 19, akiwa maskini na dhaifu, alidanganywa (groomed) na kumfanya kuingia kwenye tasnia...
Msanii wa maigizo Jimmy Mafufu amesema ushiriki wa wasanii katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu haukuwa kosa, akibainisha kuwa walitumia haki yao ya kikatiba, hivyo hawana sababu yoyote ya...
Ila Harmonize hapana huyu ntu kutoka Ntwaraaa, sijuwi anatumia cha wapi?
=============
Anasema sisi ndio tumemfanya aweke grills kwa meno, sisi ndio tumemfanye ajichore matattoo mwili mzima🤣🤣🤣 cha...
Yeye si ana vyombo vya habari na ana majukwaa ya kisasa, basi aendelee kupromoti mziki na wanamuziki wake. Hatuna muda wa kujadili mambo yake tena issue yake ikifika jioni tujihidi abaki anajadili...
Sio tu kumekuwa na Kasumba ya Cancel Culture; bali kutegemea baadhi ya watu kuwa malaika na kuwalaumu, badala ya lawama hizo kuzipeleka kwa mashetani tunaowalipa...
Binafsi lawama kwa wasanii...
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma inapenda kuwakumbusha viongozi wote wa umma walioainishwa kwa mujibu wa kifungu cha 4 (1) cha Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma (Sura ya 398), kuwa...
Kipindi cha kampeni wasanii wote mlikuwa upande wa CCM mkaanza kutukana wananchi eti tunalalamika sana tufanye kazi.
Baada ya uchafuzi wa 29 kuisha wameanza kutia huruma et nendeni youtube...
Wasanii wengi hapa bongo wana ma sponsors ambao pia husimama kama mameneja.
Iko hivi, wasanii wengi hapa bongo wamejibweteka sana hawana kazi nyingine zaidi ya muziki na wengi wanategemea shows...
Wasanii wanapishana kufanya malipo kwa Carry mastory na Diva kuhakikisha wanapewa promo ya kuwalaghai wananchi wawapokee kwa mara nyingine.
Kwa mtu mwenye akili timamu lazima ujiulize kwa nini...
Rapper Chid benz akifanya mahojiano katika kituo cha radio Kenya Radiomaisha.ke amefunguka moja ya changamoto anayopitia kwa sasa yeye kama msanii wa Bongo fleva baada ya uchaguzi.
Mwana hip hop...
Za asubuhi wakuu, leo nakuja na makala ya watu maarufu duniani, ambao wameacha alama kubwa katika tasnia zao na mpaka leo hakuna alietokea kuziba mapengo yao.
1) Mohammedi Ali
Huyu ni bingwa...
MC Pilipili alizua maswali mengi wakati wa sherehe yake ya ndoa na Mena Kanisani Juni 29, 2019 alipokataa sehemu ya kiapo cha ndoa kilichohusisha maneno "kwa shida na raha" madhabahuni.
Kukataa...
Wema aendeleza vita yake na Gen Z ambao wanataka kuandamana.
Ameonekana leo kuwakejeli baada ya maandamano kushindwa kufanyika mpaka hivi sasa kutokana na ulinzi mkali uliowekwa ili kuilinda...
Boashara yoyote inayofanywa na msanii hakikisha haumuungishi, mkiacha kuwaungisha mauzo yatashuka, mwisho wa siku ataishia kufunga tu biashara yenyewe.
Na si hivyo tu, hakikisha pia bidhaa zozote...
Asikwambie mtu bwana, miaka ya 90s ilikuwa ni Golden Eras, 1900s ndio vitu vingi viligunduliwa, mapinduzi makubwa ya ulimwengu yalitokea miaka ya 1900s. Hata hivyo miaka hiyo haikuisha kinyonge...
Staa wa TikTok Fanuel Masamaki Zerobrainer0 ashinda tuzo ya TikTok Video of the Year katika TikTok Awards ya Afrika Kusini mwa Jangwa
Tuzo hii ni hatua ya pili kubwa katika safari yake, ikifuatia...
hatutegemei show za Tanzania.Bila atashow sisi tutakula atakama ni miaka kumiKwasasa diamond anategemea sana biashara zake” Mama Dangote NENO Moja kwa mama Dangote