Juzi niliona kwenye global online Hajis Manara akimshkuru huyu shemeji yake kwa kumpatia mke.
Hajis anasema bi Zainab Abdalah alienda na mumewe Mh. Waziri wa Maji kujitambulisha kwamba hao ni...
Nianze kwa kukiri wazi kuwa, Tangu Nianze kufuatilia Matamasha ya Wasanii wanayo yafanya kwenye Jamii, Nimeona WASANII WA KITANZANIA wanaongoza Sana Kufanya PERFORMANCE zao Kwenye...
Kuna tetesi kuwa mwanamuziki diamond platnum amenunua hummer aliyokuwa akitumia mchungaji gwajima ambapo inasemekana kauziwa kwa bei ya kutupwa(haijajulikana bei gani). Tunasubiri tu baba ubaya...
Muigizaji aliopata umarufu kupitia filam ya chausiku ameolewa leo na chidi pamenzi. Ikumbukwe aliwayi kua mpenzi wa Ney wa Mitego wakashindwana.
Hongera sana Chidi kwakupata jiko.
Mwanadada Sanchi ameamua kuwajibu wanaomsema kwamba yeye ni Malaya na amejirekodi picha za uchi kwa makusudi ili atangaze biashara yake.
Sanchi amewajibu kwamba atagawa sana papuchi kwani ni yake...
Naona mwisho wa Mwaka ndani ya Mwezi mmoja WCB wanaachia pini juu ya pini zaidi ya Nne ambayo sio kawaida.
Lavalava ft Diamond
Rayvanny ft Diamond
Baba Levo ft Diamond
Diamond ft Koffi Olomide...
Katika pita pita zangu huko Insta, nimeona Paula Kajala yuko uturuki kimasomo.
Hivi huyu form 4 si alifeligi au kaenda kusomea mambo gani huko uturuki?
Mkali wa muziki Bongo Barnaba Classic amesema anaona amefanya kitu sawa kwenye maisha yake baada ya kuonekana akitrend mitandaoni kwa kuvaa sketi ya kike.
Barnaba Classic anasema haitaji kuelezea...
Hivi karibuni Babu Tale alizungumza juu ya sanaa kwa mapana yake, alidai kuwa watanzania tuwe mstari wa mbele kuwapongeza wasanii kwa kazi zao vilevile wasanii wajikite zaidi kwenye muziki na sio...
Staa wa filamu Bongo Jacqueline Wolper anasema hawezi kumuacha salama mpenzi wake Rich Mitindo 'Baba P' kama atamuumiza na kumpiga matukio kwenye mahusiano.
Jacqueline Wolper ameongeza kusema...
Nimesikia haya Mambo kuwa Rayvanny anaongoza mauzo katika digital platform, ni kweli lakini mi sioni kama ni hoja.
Sawa anauza sana hata Zuchu anauza sana lakini kuna hasara yake kwa upande mmoja...
Salute!!
Habari wakuu ebwana Leo nipo na morali kabisa nakuletea orodha ya matajiri wakubwa zaidi Africa.
= Mabilionea 25 matajiri zaidi Afrika
Utajiri wa Dangote unakadiriwa kuwa jumla ya...
Nawasalimu JF kwa salamu ya Hi Five...GOOD!
Niende kwenye point.
Ninaweza kusema naongozwa sana na hisia zang tu (Emotion), hata akili natumia pia., na kwa bahati mbaya sana sikuwa mshabiki...
Baada ya Super dupa staa Diamond kuingiza Cadillac escalade nyingine kwa ajili ya wasaidizi wake kwenye msafara ataokuwa akienda kwenye matukio mbalimbali. Mji umesimama kila mtu anasema la kwake...
Hatimaye albamu mpya ya mwanamuziki Wilson Radido almaarufu kama Willy Paul itaachiliwa wiki ijayo baada ya kusubiriwa kwa kipindi kirefu.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, nyota huyo wa muziki...
Kila mmoja ana mtizamo wake kuhusu harmonize kuondoka WCB baada ya kuvuna fadhila nyingi alizopewa na Diamond kama rais wa WCB pamoja na timu nzima.Kila mmoja yupo busy kumlaumu Harmonize kuhusu...
Nimeikuta instagram kwenye page ya politikstz
Kwa maelezo yake anadai Resty kajiwish birthday kupitia account ya mumewe ili aonyeshe mambo ni moto,mapenzi ni bambam alafu akajisahau akakoment...
Katika kusherehekea birthday yake msanii davido katoa challenge kwa wasanii na makampuni mbalimbali aliowasaidia ku push nyimbo na brand zao kuwa maarufu Nigeria na Africa, akiwataja kwa majina...