Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Hivi karibuni ukurasa wa Hamisa Mobetto Instagram umedhihirisha kuwa mwanamtindo huyo yupo karibu sana na Rick Ross. Hamisa Mobetto amekuwa akichapisha picha na video fupi zikionesha wawili hao...
3 Reactions
36 Replies
6K Views
Hamisa Mobetto amekuwa mama wa ajabu, dada na mtu maarufu kwa watu wengi wanaounga mkono maisha yake ya watu mashuhuri. Ingawa amekuwa akikejeliwa na wengi kuhusu jinsi Diamond Platinumz...
6 Reactions
35 Replies
5K Views
Mwigizaji maarufu Bongo Hamisa Mobetto amepuuzilia mbali madai kwamba amekuwa akionekana sana na watu mashuhuri duniani kwa sababu anajaribu kumkomoa aliyekuwa mpenzi wake Diamond Platnumz. Akiwa...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Katoto ka dozen wa clouds fm kamekuaaa... Very handsome mwenyewe...naona kajitoa copy...
6 Reactions
88 Replies
24K Views
Wakuu huyu mtoto ana jicho tamu walahiii, jicho likikuangalia kidogo tu unatoa PIN za Mpesa. Huyu mtoto amekuwa akinifanya kuhama naye kila kituo anachohamia ili nikimfuata. S asa hivi niko TBC...
6 Reactions
36 Replies
5K Views
Samahani wadau mwimbaji wa nchini Uganda aliyetamba Sana na wimbo wa TINDATINE Kuna mtu kaniambia alikufaga ni kweli au? Naomba msaada mwenye kujua Sent from my TECNO B1f using JamiiForums...
6 Reactions
53 Replies
13K Views
Ndo ukweli, I kwamba ni yake kwa asilimia 100, sema hawasemagi ukweli, c angesema ameingia ubia na kampuni ya Kenya kwani Nini mbaya. Hongera kwa platinum, Ila natafuta karanga zako na pafyum...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Wana JF, Kama ulikuwa hujui, kundi pekee la kibongo lilioanzoshwa chini ya Juma Nature na Chege Chigunda ndilo kundi pekee lililokuwa linashambulia jukwaa, kiasi kwamba kwenye kiti linahakikisha...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Huyu Ex wa V nae siku hizi kashaanza kuwa mdangaji, huyu si nasikia kwao pesa zipo, hata music anafanyia hobby tu sio kama Ana njaa sana kama akina Domo Au ndo fix tu na yeye njaa tu kama wasanii...
16 Reactions
519 Replies
128K Views
MAJOR ALEX GWEBE NYIRENDA, SHUJAA ALIYEPANDISHA MWENGE WA UHURU JUU YA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO SIKU YA MKESHA WA UHURU WA TANZANIA BARA, HATUNAYE TENA. HABARI ZILIZOINGIA SASA HIVI TOKA KWA...
0 Reactions
45 Replies
13K Views
Mondi azidi kuonyesha kwamba yeye ndiye mfalme wa East africa 🌍 kutokana na kuwa namba moja kwenye list ya watu walioangaliwa zaidi mjini YouTube ....... Ushauri wangu watanzania tuhamasishe...
7 Reactions
67 Replies
8K Views
Huyu Mwana HipHop alitamba sana na ngoma kama Matusi, Watu Buu, Nauza Kura Yangu. Muda sana sijamsikia kwenye gemu kwa mwenye taarifa zake wadau au ameacha mziki?
10 Reactions
60 Replies
10K Views
Song: Nimekata ringi Artist: Montra The Future ft Ruby. Yaeaah Aaah Verse 1 (Montra) Siku hizi sikai home, navunga mageto/ Nimechoka maisha ya kihome, kutishiana beto/ Pocket money ni...
3 Reactions
27 Replies
6K Views
Romy Jones amewaacha wanamtandao wakimpongeza kwenye mitandao ya kijamii kwa mara nyingine. Hii ni baada ya kushiriki chapisho hili kuhusu maadhimisho ya ndoa yake ambayo yamesambaa mitandaoni...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Wabongo hatuwezi kuendelea yaani mwenzako E FM amepanga event ya komaa concert Clouds nao wamepanga kumleta Rick Ross. Nakumbuka Lady Jay Dee alitangaza show Clouds waka andaa show na kumleta...
8 Reactions
46 Replies
7K Views
Leo nimepata sehemu nimekuta watu wanamuongelea bdozen ila nilikuwa na haraka sikuelewa story nzima Huyu mtu ni nan and why watu wanamuongea hivi [emoji848]
5 Reactions
68 Replies
54K Views
Msanii wa filamu bongo Vicent Kigosi (Ray) amesema watu wanakuwa weusi kutokana na shida. Chanzo; EATV
3 Reactions
78 Replies
12K Views
"Nimemuona pia Konde Boy Tembo hapa (kwenye orodha ya Wasanii waliotoa burudani) na kwa kifua kile cha Harmo kweli yeye ni Tembo, Kwa vikundi vyote vingine vilivyopanda hapa jukwaani kwa Burudani...
3 Reactions
42 Replies
6K Views
Mimi binafsi ni binadamu ambaye nikifika mwisho au nikisema inatosha, jua ama zako au zangu. Hakuna suluhu. Tafuta chaka lako la kujificha. Moja ya sifa za msanii King Kiba ni kuhimili...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Wana JF Wasalaam. Nianze kwa kusikitika kwa kumkosa Warumi, ambaye alikuwa anatupa burudani motomoto za vibweka vya wauza nyago Dar, tumekosa vitimbi vingi safari hii. Leo katika viwanja vya...
9 Reactions
24 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…