Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Mambo si mambo...!!! New couple in town? Wacha tuendelee kunywa mtori , nyama tutazikuta chini
10 Reactions
132 Replies
16K Views
Aliyekuwa msanii wa Konde Gang ,Country boy wakati akihojiwa na Millard Ayo, Anadai mkataba wake ulikuwa unamruhusu kuachia nyimbo mbili tu kwa mwaka. Naona anaanza kutoa siri za kambi...
8 Reactions
49 Replies
6K Views
“I QUIT THE GAME SITAKI TENA MZIKI. F** THIS GAME” Ndiyo ambavyo Prodyuza Yogo alivyoandika kwenye ukurasa wake wa Instagram kisha pembeni yake kwenye caption akaongezea kwa kuandika “Too Much...
4 Reactions
29 Replies
5K Views
Akiwa katika Kofia ya Katibu Mkuu wa Shirikisho la Muziki Tanzania, Fid Q ametolea ufafanuzi suala la kutokuwepo Vipengele vya muziki wa Injini katika Tuzo za Muziki Tanzania TMA akieleza sababu...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Hii ndio tafsiri halisi ya Dunia Tambara bovu , Miaka yote ambayo Paulo Makonda amekuwa RC , siku kama ya leo ambayo ni siku yake ya kuzaliwa , vyombo mbalimbali vya habari , yakiwemo magazeti ...
18 Reactions
33 Replies
4K Views
Nimesoma hii stori nikajikuta naanza kucheka mwenyewe, Sugu ban ani mbishi na mtata sana. ----------------- Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' amewajibu waliomdhihaki kwenye...
16 Reactions
29 Replies
4K Views
Bob Marley dated Pascaline Bongo Ondimba. Pascaline is the daughter of Omar Bongo, the former president of Gabon. Omar ran Gabon as an oppressive dictator and he remained in power until his death...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Miongoni mwa Wasanii wa bongo hip-hop ambao wamesimama kwenye misingi waliyoanza nayo katika content na style ni hao niliowataja pia NIKI MBISHI. Kwa maana nyingine wanaamini kile wanachokifanya...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Baada ya mwaka jana kuweka wazi kuwa amefanya upasuaji (sajari) za dimpozi na umbile kwa ujumla, mwanamama Muna Love amejitokeza na kuwasihi watu kutofanya sajari kwani anajuta na kuahidi kuweka...
6 Reactions
52 Replies
8K Views
Imekuwa ni kawaida kwa kampuni, taasisi na mashirika makubwa duniani kote kubadili majina kutokana na sababu za kibiashara, kubadilishwa kwa lengo la uanzishwaji wake au kuuzwa kwa mmiliki...
8 Reactions
24 Replies
8K Views
Mwijaku kaulizwa kuhusu H Baba kujitoa Konde Ganga na kuonyesha kuelekeza nguvu upande wa pili wa kuwa ‘chawa’ wa Wasafi chini ya Diamond Platinumz, ameyasema haya katika sehemu ya mazungumzo...
8 Reactions
25 Replies
4K Views
Black Rhino ambaye ni mdogo wa Profesa Jay amezungumzia kuhusu maendeleo ya kaka yake ambaye amelazwa Muhimbili. Joseph Haule au Jay ambaye ni mwanasiasa na msanii wa Muziki wa Bongo Fleva...
8 Reactions
15 Replies
6K Views
Stori: Waandishi Wetu YAMETIMIA! Ni kweli hakuna marefu yasiyokuwa na ncha! Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu aliyesifika kwa kumwaga fedha kila kukicha ameanza kufilisiwa, Ijumaa...
1 Reactions
29 Replies
8K Views
Habarini Wadau, Kuanzia mwaka 2000 nilianza kumsikiliza Sugu au Mr II aliyekuwa akiitwa 2 proud zamani, ila kiukweli namtofautisha sana na Professor J katika kazi zao. Mfano mzuri ni "Bongo Dar...
10 Reactions
267 Replies
52K Views
Baada ya ukimya wa siku kadhaaa, taarifa kutoka kwa watu wa karibu na msanii wa Bongo Fleva, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ ni kuwa anaendelea vizuri kiafya tofauti na ilivyokuwa wiki iliyopita...
3 Reactions
17 Replies
6K Views
Huyu bwana wa kuiga iga hakimpiti kitu 😂 ati na yeye ameamua kudunduliza vindevu vyake ili awe kama Rick Ross ( rich forever). Basi kwa vile anafuga vindevu mda si mrefu ataanza kujitangaza amekua...
2 Reactions
41 Replies
8K Views
Anaumwa sana, kalazwa ICU, MNH inasemekana ana shida ya figo..... Get well Soon Prof J.
34 Reactions
264 Replies
53K Views
Msanii Zuchu ametoa wimbo wake wa sukari akiwa yeye peke yake na ndani ya miezi sita una views milioni 47.9, huku sikomi Diamond ina views mil 51 miaka mitatu, Sasa hizi ndio nyimbo zenye views...
5 Reactions
38 Replies
6K Views
Staa mkongwe wa muziki kutoka DR Congo, Jenerali Defao baada ya kutosikika kwa muda mrefu ameonekana huko Kenya, akiwa na muonekano tofauti na alivyozoeleka kutokana na kupungua mwili kwa kiasi...
1 Reactions
101 Replies
32K Views
Msanii wa Bongo Flavour nchini Tanzania, Diamond Platnumz ameweka rekodi nyingine baada ya kuwa msanii wa kwanza kutoka Tanzania kutumbuiza katika jukwaa la mfululizo wa vipindi GLobal Spin...
8 Reactions
26 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…