Billnass amesema βMimi wakati mke wangu anajifungua nilikuwepo hospitali na nilimuona process zote ni kitu ambacho kilinitesa sana niliona ni nusu ya kifo, nililia sana kuna muda mwingine unaona...
Msanii Zuchu kutoka Zanzibar amesema anafurahi sana kutimiza moja ya ndoto zake za utotoni kwa kufanikisha kujenga msikiti maeneo ya Paje.
''Msikiti huu utakuwa msaada kwa wakazi wa maeneo hayo...
Mwanamuziki Henry Zamani maarufu kama Ice Prince anashikiliwa kwa tuhuma za kumpiga na kumteka nyara askari wa barabarani aliyekuwa amemkamata kwa kuendesha gari iliyokuwa haijasajiliwa
Msemaji...
Mwandishi wa habari maarufu wa magazeti pendwa nchini, kupitia kampuni ya global publishers, Shakoor jongo Kupitia ukurasa wake wa instagram
aliandika;
Tanzia Ndugu zangu, rafiki zangu napenda...
Zifuatazo ni tuzo za vipengele mbalimbali vya muziki wa Hip hop Tanzania.
Naombeni tupige kura baada ya wiki moja tutatoa tuzo.
MSANII BORA WA HIP HOP WA MUDA WOTE
1. Professor jay
2. Afande...
'Baba' wa Diamond Platnumz Abdul Juma Anasema Alisononeka Baada ya Familia Kumkataa:
Abdul Juma amefunguka kuhusu familia yake kumkana. Mnamo 2021, mamake Diamond Platnumz, Sanura, alisema...
Habari wadau,kama ww ni mfuatiliaji wa muziki bila shaka utakuwa unawajua wanamuziki hawa.Je kwa mtazamo wako nani ana kipaji kuliko mwenzake?mimi kwa mtazamo wangu naonal Whitney houston ana...
Siku chache baada ya mazishi ya mwanasiasa mkongwe Augustine lyatonga Mrema mke wake aliyefunga naye ndoa siku za karibuni amefunguka mbele ya wanahabari mambo mbalimbali ilkiwa pamoja na...
Angalia alivyovaa na kujiachia! Lakini ni huyu huyu Zuchu aliyekataa kufanya tangazo la pombe (siyo kunywa pombe) kwa madai kuwa ni kinyume cha matakwa ya dini yake.
Kungwi Sexless hajafurahishwa...
Binafsi huwa namkubali sana mwanamama Alicia keys nakibao chake cha fallin. Moja kati ya vibao vikali mno kuwahi kutoka kwake. Je wewe unamkubali msanii gani na kibao chako pendwa?
Kiukweli DJ Khaled ni kati wa wadau wachache wa mziki wa rap wanaoitendea haki hii tasnia. Kama wewe ni mpenzi wa rap ile style ya miaka ya 90s hadi early 2000s basi utakubaliana na mimi.
Jamaa...
Tunapenda kupeleka shutuma hii kwa waigizaji wa bongo movie hasa episode za ndoa/mahusiano/mapenzi. Waigizaji hawa wamekuwa wakiingiza ubaya, ubabe, ufedhuli, kiburi, umalaya, wizi, utapeli...
Hatimaye jana katika kupenya penya huku na huko katika jiji la dar, nikapata kisa cha ule mwiba kwenye lile tango pori.
Iko hivii yule mkulima aliyepanda matango yake na hatimaye kugeuka matango...
Ameandika Romantic Aloyce.
"Daimond aache kulialia, yeye mwenyewe alisaidiwa ila alipoona amekuwa akaachana na waliomsaodia tena kwa kuwasema vibaya mfano Ruge Mutahaba.
Diamond anasaidia...
Wanaodaiwa kuwa Wapenzi, Mwanamitindo na Mwingizaji, Hamisa Mobetto na Mfanyabiashara Fred "Vunja Bei" wanadaiwa kumwagana.
Ikumbukwe kuwa Mobetto na Vunjabei hawajawahi kutangaza wazi wazi kuwa...
UTANGULIZI
Wengi na vijana hasa wa kike kwa ujumla wanamtazama vanessa mdee kama role model wa maisha yao kutokana na umaarufu wake mkubwa alioupata kupitia muziki na maisha yake kwa ujumla kwa...