Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Mke wa zamani wa Billionea wa Microsoft Bill Gates, Bibi Melinda Gates (58) ameangukia kwenye penzi jipya na Mwana habari Jon Du Pre. Wawili hao walionekana Kwenye mchezo wa Kikapu pamoja na muda...
15 Reactions
65 Replies
8K Views
Naomba kujua jina la muigizaji huyu wa bongo movie. Natanguliza shukrani
2 Reactions
33 Replies
7K Views
Hip Hop/Rap Music ni Mziki Wenye Ushawishi Mkubwa Hasa kwa Vijana Wanapofikia Age Fulani. Licha Ya Hapo Mwanzoni Hip Hop Kujikita Zaidi Kiharakati Na Muziki Unaopendwa Zaidi Na Kundi Fulani Katika...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Wakiwa njiani baada ya kukubaliana na Prof Jay kuwa kuna show wanaenda kupiga mkoa fulani, Ferooz ghafla akamwambia Prof Jay kuwa naona miyeyusho hii safari kama vipi nageuza [emoji23][emoji23]...
30 Reactions
133 Replies
21K Views
Franco luambo luanzo makiadi ni mwanamuziki anayefahamika sana barani Africa kwa nyimbo zake nyingi nzuri na ambazo mara nyingi alizitunga kutoka katika maisha yake binafsi Baadhi tu ya nyimbo...
15 Reactions
106 Replies
23K Views
Hapa kati ya hawa watoto nani anaweza kuyarudi? Waswahili wanasema kusasambua, kuyanengua, kuyamwaga mauno?
5 Reactions
51 Replies
4K Views
Hii habari ndiyo kwanza nimeiona. Binafsi ni mmoja wa mashabiki wake . Hii habari imeni_pain mno. Hapo kabla alisha_survive matukio mawili ya kupigwa risasi. Hili tukio limetokea jumatano mchana...
12 Reactions
126 Replies
17K Views
Baba wa kambo wa Pac na baba mzazi wa rapa Mopreme, kaka yake Assatta hatimaye yuko huru, lakini ana siku chache za kuishi sababu ya kansa. Taarifa zaidi inafuata.
0 Reactions
3 Replies
745 Views
Ingawa binadamu hatupendi kutangaza mafanikio ya watu ukweli ni kwamba Kanyewest anakwenda kutajirika kwasababu United (benki inayomilikiwa na watu weusi) imempa nafasi ya kuwekeza pesa katika...
8 Reactions
20 Replies
3K Views
Sasa hivi shujaa wetu Majaliwa apewe muda apige pesa na matangazo ili sasa Januari aende kupiga kwata, si vema kumuwahisha sasa hivi. Hata hivyo, nina wasiwasi na wale watu wa majeshi huko...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Maneno ya Baba Levo akihojiwa huwa anaongea vitu fulani hivi ukivichunguza utajua nini kinaendelea Konde Village. Mara nyingi Baba levo akiulizwa mahusiano ya Kajala na Harmonize amekuwa akijibu...
25 Reactions
138 Replies
15K Views
Wana Jamii Forums hope ni wazima wa afya, njooni tujadili kidogo. Hivi ni kweli kwenye uzima wake Albert Magwair hakukuwa na rapa mkali kuliko yeye? Ni kweli pengo lake Ngwair hadi leo...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Asitegemee madili makubwa makubwa kumfata, hakuna kitu kinaitwa kuwa na nyota, kuna mpango, ama ikufate moja kwa moja au uifate!
11 Reactions
114 Replies
15K Views
Kwenye wimbo wake " Troublesome 96" Tupac anasema " SCREAMIN CUFK ALL Y'ALL NIGGAS IN SWAHILI" # Nimepata ushahidi mzito na wenye mashiko kuhusu Tupac kuwa hai. Nitaupost kesho. # The other day...
4 Reactions
57 Replies
9K Views
Mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili eneo la Kati Mary Lincoln amejikuta akiingia Kanisani kutubu na kutafuta maombi baada ya picha na video zake za utupu kusambazwa mitandaoni. Aliandamana na...
4 Reactions
52 Replies
9K Views
Naona mmakonde kaaanza mgogoro na zuchu[emoji16]
3 Reactions
41 Replies
6K Views
Taarifa zilizopo ni kuwa Anjela yupo Basata akipambana angalau kupata haki yake, hata hvyo mshale unaonekana atashindwa tuu, mana Harmonize hajatangaza kumfukuza kama alivyowafukuza wengine...
19 Reactions
77 Replies
9K Views
Oktoba 10, 2022, kupitia kurasa rasmi za mitandao ya kijamii za Konde Music Worldwide, Harmonize alitangaza kusitisha mikataba na waimbaji Killy (Ally Omar) na Cheed (Rashid Mganga). Harmonize...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Hi movie ilitakiwa ipewe heshima yake katika ulimwengu wa sanaa kwa namna bora ya uigizaji na namna ilivyoweza kuleta muamko mkubwa ndani na nje ya tasnia ya bongo movies. Nadhani hio ndio ilikuwa...
11 Reactions
55 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…