Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Hivi kati ya Ariana Grande na Camilla Cabello nani hatari zaidi???
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu Naweka picha za show yake ya Sweden tuseme ukweli wasanii wetu wakienda huko wanaweza kupata watu wengi kiasi hicho? Au tuendelee kukomaa na Burundi tu wanakotuelewa.
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Mahabati yangu kwa nyimbo za Saida siwezi kuyaelezea " yako juu, juu mawinguni", nazungumzia zile nyimbo za zamani za kiasili akiimba kwa lugha ya kihaya., "mapenzi kizunguzungu" ni moja ya nyimbo...
6 Reactions
56 Replies
10K Views
Hattrick sio mpirani na Ndoani pia ipo.!! ndivyo unavyoweza kusema baada ya Haji Manara Leo kuongeza mke mwingine wa 3 bint anaitwa Rushaynah Athumani.Kumbuka. Kwa utamaduni wa kiafrika...
10 Reactions
84 Replies
10K Views
Leo nikiwa kwenye daladala nimeshangaa kila ngoma zinazopigwa zipo muelekeo na miondoko ya Nitongoze ya Diamond na Kwani tsh ngapi/ Huna hela ya Vannyboy , inaonekana baada ya izo ngoma kuhit kila...
2 Reactions
4 Replies
601 Views
We have the best hiphop artist na wamefichwa na media . Huyu artist is very smart. Anajua kuandika slow artistic rap . Sio makelele. He should be one of the best hip hop house names hapa bongo...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Nasema nyumba ya tope kwa sababu Dar hajajenga anaongoza kwa kupanga mitaani huko hivo basi kwa kuwa yeye ni mtoto pekee wa mama na mama alikuwa na nyumba ya tope basi Luludiva ndio anaweka record...
21 Reactions
391 Replies
38K Views
Kuna hizi tetesi kwamba Gerald Hando hana taaluma ya habari, na kwamba kitaaluma ni fundi Bomba. Anayemjua vizuri atupe za ndani
12 Reactions
122 Replies
11K Views
Mtoto wa Mfalme Charles na hayati Princes Diana, Prince Harry anakiri katika kitabu chake kipya kuwa aliwahi kutumia dawa za kulevya aina ya Cocaine akiwa na umri wa miaka 17, lakini anasema...
8 Reactions
177 Replies
12K Views
Akiwa Marekani baada ya kukosa tuzo BET sadala katua studio kwa swizzbeats ambako sijui ana project gani, ila katika picha kaposti kwa insta ameonekana kachafua shingo na mikono kwa lundo la...
13 Reactions
165 Replies
21K Views
Kwa umri wako wa miaka 50 ni aibu sana kufanya mambo yanayotakiwa kufanywa na wajukuu zako.
4 Reactions
75 Replies
7K Views
Taifa lenye watu 60m msanii akatoa albam akauza hata kwa alfu 3 kwa 1% ya watu wote nchini ambao ni kama watu 2m anaweza kupata kitu kama bilion 6,kiasi ambacho sidhani kama kuna msanii anamiliki...
1 Reactions
5 Replies
731 Views
Kijana kampenda kweli yule dada, shida dada yule hana mipango anawaza kutumia pesa tu na si kuzitafuta. Amepata fursa ya kuwa manager ili ajipatie kipato halali KUPITIA ubunifu wake na kujituma...
10 Reactions
21 Replies
4K Views
Hongera sana shujaa wetu. Miaka 103 sio mchezo.
7 Reactions
44 Replies
4K Views
Wacongo wanaomboleza kifo cha mwimbaji mashuhuri Tshala Muana. Muana alifariki dunia leo Jumamosi asubuhi, Desemba, 10. Kulingana na vyanzo vya habari vya Congo, Muana alifariki mjini Kinshasa...
16 Reactions
113 Replies
10K Views
Harmonize mwanamuziki mwenye uwezo na bidii. Sina uhakika kama anajielewa au hata ana meneja mzuri. Au huenda anayo menejimenti nzuri ila ye ni kichwa ngumu! Nimeshangaa kuwa anataka kutoa album...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Ni ukweli kijana yupo vizuri anaijua historia ya timu husika na hachoshi kumsikiliza 🙌🙌
7 Reactions
65 Replies
6K Views
Faiza Ally ambaye ni muigizaji wa Bongo movie na mama watoto wa Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesema kuwa hayuko tayari kuolewa na mzazi mwenzake huyo bali anaweza mzalia mtoto...
7 Reactions
83 Replies
16K Views
Daima dumu huwa naamini maisha ya sanaa ya muziki hayana tofauti na kukidunda kitenesi kwenye sakafu automatically kitaenda juu na kisha kugonga ceiling board na kurudi chini huku kikipungua kasi...
51 Reactions
51 Replies
14K Views
Wasalaam wanajamvi....... Ni ukweli uliowazi muziki wetu umetwaliwa sana na matukio(kiki) na wanamuziki wetu wamekuwa wakitumia kiki hizo kusaidia kusukumu shughuli zao za kimuziki na kubaki...
18 Reactions
85 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…