MUUNGANO WA WATANZANIA " JUMA NATURE & PROFESSOR JAY "
Umoja wa Tanzania" ni wimbo maarufu wa Bongo Fleva uliotolewa mwaka 2003 na mkongwe Juma Nature akishirikiana na Professor Jay, ukiwa kwenye...
Mwigizaji na msanii wa mapigano ya kijeshi na judo, Chuck Norris alifariki dunia jana asubuhi akiwa na umri wa miaka 86, familia yake imetangaza kupitia mtandao wa Instagram.
Norris alilazwa...
Ishowspeed kabla ya kutembelea Afrika keshakuwa na shobo na WWE SuperStars, mwanakulitafuta siku moja kapeleka kwato kwa mhuni Randy, baada ya mapokezi hakuwahi tena kujihusisha na WWE
Mdogo wa Marehemu Steven Kanumba, Seth Bosco amefariki usiku wa kuamkia leo baada ya kuzidiwa akiwa nyumbani kwa Mama Kanumba Kimara, Dar es Salaam alipokuwa akiuguzwa kwa muda sasa baada ya...
Kuna video imeniumiza na kunisikitisha kupitia Grobal TV Online ambapo mama Kanumba anaeleza kwa uchungu sana jinsi mdogo wake Kanumba Seth alivyopata ugonjwa wa ajabu uliopelekea kupalalaizi...
Muigizaji wa Comedy mwingine William Mockray anaekwenda kwa jina la stejini Mtumishi Obama, nae amejionesha leo akijipa zawadi ya gari aina ya BMW 320i ya mwaka 2006 hadi 2008.
Ni hatua nyingine...
Mtangazaji maarufu nchini wa vipindi vya Radio na Television Dennis Busulwa a.k.a Ssebo amejiunga na Radio ya E FM ambayo imekwishajizolea umaarufu mkubwa jijini Dsm kwa kipindi kifupi tu kutokana...
---------------------------------------------
For days now, social media users have been wondering who is dating Miss Mutesi Jolly, since she is one of those famous girls whose personal life is...
Hizi tuzo za wachekeshaji mwaka jana zilifanyika Februari 14 siku ya Valentine wakamualika hadi Rais kama mgeni rasmi
Mwaka huu nimepita kwenye instagram yao sijaona update yoyote.Tukiwaambia...
Kwanini nimesema una uwalikini mkubwa?
Vile tunashuhudia humu jukwaani hata huko uraiani mambo ni yaleyale.
Kuna jamaa walikuwa wanatambiana kuwa ana nguo za kulalia nyingi kiasi kwamba mademu...
MKOLONI FT JITA MAN - BEI JUU.
Mkoloni amewataka wasanii kuimba nyimbo za kuelimisha kama walivyokuwa wanaimba zamani ili kuweza kuiweka jamii sawa na siyo kuimba mambo ambayo ukiyasikia mpaka...
Dudu Baya amemwaga sewage katika mtandao wa YouTube akimlaami mwanaye Wile kwa maneno makali jambo ambalo limekera baadhi ya Watanzania hasa alipotamka kauli chafu kuwa alimpiga trees mama wa...
Master J ndio Godfather wa hili game japo yeye hapendagi kabisa hizi debates, anaona zinampotezea muda tu haoni umuhimu wa kuitwa legend wala mambo ya kupewa heshima. inshort hapewi kabisa heshima...
WATU PORI - USINICHUKIE
Afande sele.( Verse)..
"inshallah kama umenisamehe
Kama bado basi Ewallah
Yote namuachia Allah
Kwani tulipo , Tupo kwa vile ametaka Tuwepo/
Anatupenda Sawa sawa...
MATUMAINI:
katika mambo yanayokwamisha mtu kuweza kuendelea ni pale anapokutana na changamoto mbalimbali za maisha hasa pale unapokuta unashindwa kufikia malengo uliyoweka kwa wakati,hali hii...