Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Mbunge wa viti Maalum Jesca Kishoa asiyetambuliwa na CHADEMA (COVID 19) ameingia kwa kishindo wilayani Mkalamo mkoani Singida kwa ajili ya kusherehekea Birthday yake Kadhalika Makamu Mwenyekiti...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Salama Wakuu? Watu walitabiri na kutabiri mara Kikeke anaenda TBC, mara anaenda Wasafi, mara atalamba teuzi za Rais Samia akaungane na Zuhura, sasa kutabiri kumeisha, Kikeke huyooo kwa CROWN...
11 Reactions
112 Replies
9K Views
Kwa documenta zilizofichuka wiki hii imegundulika kuwa kumbe Biggie alikuwa ana plan aachane na Bad Boy Records. Pia kwa taarifa za watu wa karibu ni kuwa Pac nae alikuwa anataka atoe album ya...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
S2Kizzy Mika Mwamba Leo kumekuwa na ubishani mkali, je ni nani Producer Bora wa mziki , kati ya Producer namba moja wa muda wote wa Tanzania ajulikanae kama s2kizzy, na engineer wa mziki...
5 Reactions
50 Replies
3K Views
Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika Joyce anaonekana mwanamke anayejali sana pale anapopenda, ila huwa kile kinachotokea baadae huwa...
8 Reactions
194 Replies
16K Views
Habarini, Miaka ya 1980 kulikuwa na nyimbo kali za mziki zilizo romantic, kama vile stuck on you Lionel Richie, all my life -kci Jojo, endless love, end of the road Boyz to men, hard to say am...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Mchungaji Tobi Adegboyega ndie aliezaa watoto wote na mke wa mchezaji wa zamani wa Super Eagles na Man city Michael Olanrewajin Kayode. Mchungaji kapiga mashine mpaka mke wa mtu Dora kayode kuzaa...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Humu unaweza kujitoa mwenyewe sadaka au kumtoa mwingine wa Karibu. Ila kikubwa ni kiapo Cha damu kisha unakabidhi nafsi.
11 Reactions
67 Replies
7K Views
Nyota wa Filamu za Fast & Furious, Vin Diesel amefunguliwa mashtaka ya Unyanyasaji wa Kijinsia dhidi ya Asta Jonasson, Mwanamke aliyewahi kuwa Msaidizi wake mwaka 2010. Mwanamke huyo amedai...
1 Reactions
58 Replies
7K Views
KWENYE "MKUU WA MKOA" O TEN anasikika akisema; " Nakaa na mama wa kambo, sikufahamu CHOCHOTE Kumbe si mama mzazi, sikutambua LOLOTE ETI MAMA'NGU ALINITOSA, MOLA AKANIONGOZA..." "TOKA NINA MWAKA...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Bifu linaendelea kama kawaida diamond katema cheche tena...sikiliza hapa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
68 Replies
14K Views
Kijiwe niaje! Ni wengi ambao tunawajua watu wakiwa maarufu ila ni wachache zaidi tunaowajua kabla ya kuwa maarufu aidha kwa kusoma nao, kujuana nao, kucheza nao utotoni, n.k Binafsi kwa huku...
26 Reactions
600 Replies
108K Views
Anaitwa Beka flavor zao la yamoto band walimokuwemo Mboso, Aslay na wengineo. Kijana anauwezo mkubwa sana wa kuimba japo mafanikio aliyonayo kimziki hayalingani na kazi kubwa anayoifanya...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Shusho amlilia Lowassa.
0 Reactions
1 Replies
705 Views
Lauryn Hill Leo hii ukizungumzia orodha ya wasanii wakubwa wa kike nchini Marekani na duniani kote, basi huwezi kumkosa Lauryn Hill. Huyu ni moja kati ya binadamu wenye vipaji vikubwa sana vya...
10 Reactions
25 Replies
4K Views
Queen Darleen, Nadhani kama wanawake wa Kiislam walikuwa hawajawahi jua ugumu wa uke wenza sasa wanajionea dhahiri kupitia wewe. Queen, kuwa na huruma we mama (maana hata sio dada, enzi niko...
3 Reactions
49 Replies
10K Views
Skendo inayomuandama msanii maarufu wa miondoko ya HipHop wa nchini Marekani, Puff Daddy a.k. P Didy, inazidi kupamba moto baada ya CNN kupandisha mitandaoni video inayomuonesha akimpiga vibaya...
17 Reactions
243 Replies
21K Views
Kwa tuliosoma vyema Psychology hasa ile ya Communication naomba tutafute Clips za Interviews za Diamond kuhusu Umiliki wake wa Wasafi Media kisha naomba tuchukue na Clips za Interviews za Ali Kiba...
9 Reactions
25 Replies
3K Views
Toka mitaa ya Upanga Kilombero ama Kalenga kuvuta bangi na washikaji mpaka Mjengoni. Muite MwanaFA. Kuna muda ukitaka kutoboa kwenye haya maisha kuna maisha inabidi uyakatae na baadhi ya marafiki...
31 Reactions
143 Replies
11K Views
Back
Top Bottom