Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Its good to see the brother anazungusha na Porsche in Dar...nishachoka kumwona Ketan (naskia kaingiza Bugatti ) na magari mazuri.....lakini naomba kuuliza, hivi how does he maintain that monster...
0 Reactions
54 Replies
14K Views
Nasikia anakaa kwa mmiliki wa bendi inayotumia mtindo wa kinu na mtwangio?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu habari, nimetazama TBC taarifa ya habari kwenye michezo na burudani, wakaonesha updates kesi ys muigizaji Lulu, lakini cha ajab ambacho sijakielewa ni kuficha uso wake, kulikoni kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
A George Iron mini documentary, 2012 TRUE SAD STORY ILIKUWA siku ya furaha…kwanza kukutana na familia yako maeneo ya Tabata…pili kuisikiliza historia yako na mke wako Wastara ilivyokuwa ya...
3 Reactions
17 Replies
13K Views
Na Hamida Hassan STAA wa Bongo Movies, Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’ hivi karibuni alifunguka kuwa hawezi kumtenga msanii mwenzake Elizabeth Michael ‘Lulu’ anayekabiliwa na kesi ya mauaji ya Steven...
1 Reactions
17 Replies
7K Views
Rapa mashuhuri nchini Marekani Rick Ross anusurika kuumia baada ya kuigonga katika ukuta wa jengo moja gari yake ya kifahari aina ya Rolls-Royce. Maafisa katika mji wa Fort Lauderdale huko...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
More like he quit Instagram because his Twitter account is still up. The singer deleted his Instagram page yesterday night after being ruthless bashed online for comparing himself to Jesus in the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ambazo mh temba alizozisema juzi kwamba usiku wa kuamkia juzi wezi waliingia kwa fela alipopaki gari yake aina ya verossa na wameiba kila kitu kinachoibika kwenye gari,tena hao wezi walikua...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zilizotufikia hivi punde zinadai kuwa Mahakama kuu ya Tanzania imemwachia kwa dhamana msanii wa filamu nchini Tanzania, Elizabeth Michael aka Lulu aliyekuwa mahabusu katika gereza la...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
MWANAMITINDO wa kimataifa wa Tanzania, Flaviana Matata ameendelea kung’ara kimataifa baaada ya kushinda tuzo ya Nigeria’s Next Super Model na kuwa mwanamitindo bora barani Afrika wa mwaka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Shori Mkali wa HT aiseee jamaa anakula maneno nzuri sana aisee... New photos of Bee Anderson (girlfriend of Hasheem Thabeet) Hasheem Thabeet (#34) has a beautiful girlfriend, Bee Anderson...
0 Reactions
33 Replies
11K Views
Sugu amshukia roma mkatoliki baada ya roma kusema kuwa Pesa ndio imemaliza bifu ya ruge na sugu Sugu akiwa ndani ya eatv katika kipindi cha friday night live amemshukia roma na kumuonya...
0 Reactions
8 Replies
10K Views
Jamani yuko wapi au ndo umaarufu bongo basi tena..Kuna tetesi anaonekana Moshi maeneo ya KCMC anashinda saloon asubuhi hadi jion akiulizwa vp anasema amerudi nyumbani kulima..
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Hapa kwakeli sijamwelewa ROMA ni Sugu kapewa pesa anyamaze au Ruge kapewa pesa anyamaze....shorty sijaelewa pesa imetumikaje kusolve dis isue'''''''''' kwa mstari huu ROMA yupo sahihi au amepotoka?
1 Reactions
8 Replies
3K Views
11 . Taarifa za uhakika nilizozipata kwa sasa ni kwamba kuna uwezekano mkubwa mwigizaji Lulu akatoka kwa dhamana kesho january 25 2013. Uhakika wa Lulu kupata dhamana ulikua jana...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
WAKATI wasanii wengi wakichemsha kwenye show, mkali kutoka THT, Amini , amesema kuwa anamkubali Diamond kwenye upande wa show kwani anavuta mashabiki wengi kuliko msanii mwengine yeyote...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
It's probably BS but quite a number of people are taking his claims quite seriously because Bryan Boy is one of the most popular and most respected fashion bloggers in the world. He was dubbed by...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Hivi hili suala la wasanii wa kike kutoelewana unalichukuliaje kwa 7bu naona kila siku wanapigana madongo EATV mara Snura na Wema hawaelewani ooh sijui Shilole na Flora Mvungi mmm haya bwana eti...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu,kwa kweli napenda kumshukuru Mungu kwa uzima Binafsi napenda kumshukuru Mungu kupitia mtumishi wake KAKOBE kuhusu suala la TANESCO,wadau kusema kweli bila yeye haya madudu ya...
3 Reactions
20 Replies
6K Views
Huyu kijana ni caregious,jasiri na mwenye "revolutionary ideas" sana!huwa anani impress xana kwa nymbo zake!anastahili kuungwa mkono kuingia bungeni kutuwakilisha!ni wazo langu!
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…