heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
WAKATI wasanii wengi wakichemsha
kwenye show, mkali kutoka THT,
Amini , amesema kuwa anamkubali
Diamond kwenye upande wa show
kwani anavuta mashabiki wengi
kuliko msanii mwengine yeyote
Tanzania.
Kauli ya msanii huyo aliitoa jana
kwenye usiku wa Wasafi ambapo
Diamond alikuwa akipiga show
New Maisha Club , ambapo watu
wengi waliojitokeza kwa lengo la
kuona msanii huyo anafanya nini
ndani ya usiku wake.
Amini alisema kuwa kutokana na
umati uliojitokeza haamini kama
kuna msanii mwingine anayeweza
kujaza club hiyo kama alivyofanya
Diamond kwani watu walikosa
sehemu ya kukaa huku wengine
wakiishia kubaki nje.
Hapana watu ni wengi sana na
naamini Diamond kwa sasa
kwenye upande wa show yuko
safi sikutarajia kama watu
wanaweza kujaa kiasi hiki, na si
hapa show zake nyingi jamaa
anafanya poa namkubali sana,
alisema.
soure:bongo5
kwenye show, mkali kutoka THT,
Amini , amesema kuwa anamkubali
Diamond kwenye upande wa show
kwani anavuta mashabiki wengi
kuliko msanii mwengine yeyote
Tanzania.
Kauli ya msanii huyo aliitoa jana
kwenye usiku wa Wasafi ambapo
Diamond alikuwa akipiga show
New Maisha Club , ambapo watu
wengi waliojitokeza kwa lengo la
kuona msanii huyo anafanya nini
ndani ya usiku wake.
Amini alisema kuwa kutokana na
umati uliojitokeza haamini kama
kuna msanii mwingine anayeweza
kujaza club hiyo kama alivyofanya
Diamond kwani watu walikosa
sehemu ya kukaa huku wengine
wakiishia kubaki nje.
Hapana watu ni wengi sana na
naamini Diamond kwa sasa
kwenye upande wa show yuko
safi sikutarajia kama watu
wanaweza kujaa kiasi hiki, na si
hapa show zake nyingi jamaa
anafanya poa namkubali sana,
alisema.
soure:bongo5