Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kwa nn huynu jamaa anapenda kuvaa bendera ya nchi anapokutana na mass? Mfano leo naangalia sherehe za kuzaliwa ccm on tbc1 amevaa bendera kama kawaida yake. Mm cmuelewi anaamanisha nn?
0 Reactions
20 Replies
3K Views
maazimisho ya miaka36 ya ccm kigoma..kikwete anamaliza hotuba na kumkaribisha diamond kupafomu tukubali tu kijana yuko juu..kwa nn mikusanyiko ya kiserikari huchaguliwa diamond na c msanii...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Hatimae mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba amepatanishwa na mama mzazi wa Lulu baada ya mlolongo mrefu na mgumu wa jitihada za kuwapatanisha kina mama hao wawili. Chanzo cha kuaminika cha...
1 Reactions
14 Replies
8K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete usiku wa kuamkia leo, Jumatatu, Februari 4, 2013, alikutana kwa muda mfupi na kundi la...
1 Reactions
51 Replies
9K Views
Ni muda mrefu nilikuwa nasikia jamaa kwenye viglossary wakilalama juu ya nyota ya Diamond kuwa ni ngekewa. Wengine walithubutu kusema kuwa waha (wakazi na kabila la watu wa Kigoma) ndivyo walivyo...
0 Reactions
45 Replies
17K Views
Familia ya staa wa Bongo Fleva, Herry Samir ‘Mr. Blue’, imeingia kwenye kashikashi baada ya kuvunjiwa nyumba na kutupiwa vitu nje, Risasi Jumamosi linashuka nayo. Tukio hilo lililoshuhudiwa na...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Nigeria’s music diva, Susan Oluwabimpe Harvey, popularly known as Goldie, who died Thursday night may have died as a result of doping complications, close sources to her said. She died last night...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Apparently Katy Perry (R) didn't get CBS's message about side boob and under boob, as TV host Ellen DeGeneres cops an eyeful of the pop star's ample cleavage, and Ellen's wife Portia de Rossi has...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Beyonce has released promo shots and also announced the dates of her 'The Mrs Carter Show - World Tour,' which will begin on April 15 in Belgrade, Serbia and move to 14 other countries in Europe...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
DIVA wa filamu za Kibongo Shamsa Ford amefunguka kwamba, wanaosema eti amepoteza mvuto baada ya kujifungua wanakosea sana kwani ndiyo kwanza amezidi kuwa na mwonekano mzuri. Akipiga stori na...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
9 Hii ni movie mpya ambayo imeingia sokoni siku mbili zilizopita, imetengenezwa na kampuni ya Marehemu Steven Kanumba, humo ndani wameigiza Seth mdogo wake Kanumba, Rose Ndauka...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kwa muda mrefu mdau wa UK Dr.Shayo amekuwa akiitumia blog ya Issa Michuzi na kujifanya kama ni mtaalam wa uchumi toka London Southbank university wakati ukweli ni kuwa Dr.Shayo ni bingwa wa...
0 Reactions
218 Replies
31K Views
Jay Z has been distancing himself from Kanye since his relationship with girlfriend Kim K became serious. And now he has found himself a new BFF. According to the The NY Post, after teaming up at...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yule mchambuzi mahiri wa habari za michezo hapa Tz anayepiga mzigo katika redio na tv ya watu Clouds Fm na Clouds TV Shaffih Dauda kwa mara nyingine tena amepigwa panga katika kinyang'ang'anyiro...
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Chris Brown and Rihanna sit together at Sunday's Grammy Awards! Chris Brown and Rihanna didn't walk the red carpet together at the Grammy Awards Sunday. They didn’t perform together on stage...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
KUMEKUWEPO na vijineno vya chinichini kuwa eti ndoa ya msanii maarufu wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel aliyofunga hivi karibuni na Sunday Demonte haipo na wabaya wake wamekuwa wakieneza taarifa hizo...
0 Reactions
10 Replies
9K Views
kuna habari zimesambaa mjini leo kwamba baada ya kushawishiwa sana na watu hatimaye yule mwanadafada mrembo na star wa move za kibongo Wema Sepetu amechukua form ya kuomba kushiriki shindano la...
0 Reactions
92 Replies
15K Views
Reality TV star, Kim Kardashian, will make her debut in Nigeria next weekend. She has been confirmed as special co-host, for ‘Love…Like A Movie’, the eagerly anticipated valentine concert by...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni ktk closing ceremony afcon,kaja na wadada wanapafom sijawahi ona! na sijui kaja nao au kawakuta south! source,Super sport select live.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwamitindo maarufu nchin Flaviana Matata amepata dili la kupiga kazi na kampuni mpya ya mavazi DIESEL & EDUN....BIG UP MDADA.. LOTTA BLESSINGSnguo hizi zitaanza kupatikana kuanzia mwezi wa 3.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…