Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

hayaaaa wema sepetu aamua kuja kvngne 4 da 1st tym baada ya kua star ameamua kunyoa nywele nw n mwendo wa para 2 Source:www.bongo5.com
0 Reactions
44 Replies
8K Views
ni miezi takribani mitano imepita tangu mkali wa hip hop kutoka jiji lenye miamba (mwanza), ambaye pia ni zao la BONGO STAR SEARCH, kala jeremiah masanja a.k.a kala jeremiah a.k.a mzee wa mistari...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
  • Closed
mmmmmh haya sasa diamond amekiri kua penny ndo atakaekua mrs wake kwan nw anataraj mtoto kutoka kwake kwan penny n mjamzito now na amemnunulia gar ya mil 15 ya kuendea klinik na kwny mizunguko...
0 Reactions
56 Replies
15K Views
naangalia kipindi cha sporah kuna ommy dimpoz, alikiba, na mtanzania flani ana asili ya kiasia pamoja na dada flani mtanzania anasoma u.k. Alikiba na ommy wanaboa kwakuwa wanaropoka yani wako...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
graphics bwana,we acha tu....
0 Reactions
38 Replies
6K Views
<tbody style="margin: 0px; padding: 0px; border: 0px; outline: 0px; vertical-align: baseline; background-color: transparent;"> Mwacheni Diamond Aitwe Diamond-Picha za Show yake ya Jana na...
2 Reactions
54 Replies
25K Views
Rising hip hop act, Olaniyan Damilola, popular known as Damino Damoche, was shot dead this afternoon at Lagos State University Ojo gate by people suspected to be cultist. Damoshe was shot twice...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi karibuni Diamond Platnumz alilazimika kuahirisha ziara yake ya barani Ulaya baada ya waandaaji kushindwa kukamilisha kumlipa hela yake ya advance katika muda muafaka. Inadaiwa kuwa katika...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Karibu kila mtu anayeufuatilia muziki wa Bongo Flava anajua Diamond ndio msanii anayetafutwa zaidi kwaajili ya show kuliko msanii yeyote Tanzania but nani alifahamu kuwa amemjengea mama yake...
0 Reactions
48 Replies
12K Views
Two very different ex-NBA players ran into financial issues in two very different ways recently. Robert Swift — who earned $11 million in three seasons — had his house foreclosed on after...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Taarifa zilizonifikia punde zinatanabaisha kuwa mmiliki wa magazeti ya udaku nchini Tz ndugu Erick Shigongo wawekwa kizuizini, Haijafahamika nini tatizo hasa, ila nitawajuza punde tu nipatapo...
0 Reactions
97 Replies
15K Views
Jana Ijumaa Wema alimwaga mapene yasiyoisha kwa msanii wa Taarab Khadija KOPA, chezea pesa weye....
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Judgingby this warm embrace, you would think these two old fighters were the best offriends and always had been. But it was a different story in June 1997when Mike Tyson bit off part of Evander...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nimegundua hapa kuwa wanaume wanaongoza kumuonea wivu diomond kuliko wanawake! Kizuri ni kwamba huyu bwana mdogo mashabiki wake wengi ni watoto wa kike na wanamume wasio na wivu ama chuki za...
1 Reactions
56 Replies
6K Views
Chonde chonde Rizmoko chagua moko bana!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Bad boy Chris Brown continues aggressive behaviour as he grabs his crotch... following valet and bodyguard rowHe’s caused controversy a couple of times in the past week with his less than charming...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
MODO wa Bongo, Jackline Patrick juzi Jumatano alipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam na kusomewa shitaka la kumjeruhi kwa chupa kichwani msichana...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
CEO wa Endless Fame Films, Wema Sepetu amelazimika kujisamilisha kwa daktari wa meno baada ya ulaji wa chocolate kumponza na hivyo kuozesha baadhi ya meno yake. Kupitia mtandao wa Instagram, Miss...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
wakuu habari. Mwenye contacts za miss Tanzania 2011/12 Salha Israel kifai please naomba anisaidie.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
yaani niko naangalia Nirvana EATV aisee hiki kifaa si mchezo yuko fit kila idara hadi sauti inaita si mchezo, kwa mlio karibu na tv mnaweza mcheck, kiukweli amesimama si mchezo.
0 Reactions
65 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…