Erick Shigongo atiwa kizuizini

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
Taarifa zilizonifikia punde zinatanabaisha kuwa mmiliki wa magazeti ya udaku nchini Tz ndugu Erick Shigongo wawekwa kizuizini,

Haijafahamika nini tatizo hasa, ila nitawajuza punde tu nipatapo habari kamili!

Updates:

Kamnyanganya Chamelione passport,

Tatizo jamaa ana diplomacy passport!

Issue imeingiliwa na Museven mwenyewe! Bado anashikiliwa na
Anahojiwa na usalama.

Wanasema yuko interogation kwao!!

Wameanza convasation saa 7 zilizopita mpaka dakika hii!

Ipo video ingieni kwenye page ya fb ya "Walter Rumisha"
 
Thanx mkuu for tetesi BUT we JF family, we love to get confirmed info....! Kindly continue to update us
 
aisee..,bila shaka magazeti yake yata muonyesha jinsi alivyobebwa tanganyika jek kama hayana upendeleo,.
 
Vp wanaharakati hawajatoa tamko bado kupinga unyanyasaji wa polisi? Wapi mama Kijo Bisimba?
 
Au ni hiyo ishu yake na Chamelione?!, sitegemei Chamelione ana shida ya kumfanya amtapeli Shigongo, kwanza sidhani kama ni tapeli
 
kwa kumteka jose chameleone,yaani amejchukulia sheria mkononi,inasemekana almtuma sharabaro flan ivi kampala kuingia mkataba na msanii uyo,uyo btoz akakutana na matozy zaid yake wakamdanganya kwamba wao ni wawakilish wa jose kwaiyo akawapa mpunga kama dola elfu 3 iv,da ntaendelea baadae
 
Na kama Shigongo kweli hamjui Manager wa Chamelione ni ajabu na aibu, staa kama yeye, wafanyakazi wake wana Udaku kibao, wanashindwa kumweleza Boss wao kuwa Manager wa Chamelione ni nani?!
 
Hata angeomba msanii wa Bongo aliye karibu sana na Chamelione ampe details kuhusu Chamelione na kuomba contacts za msanii huyo pia, inawezekana Kidum amemponza au wote wametapeliwa bila kujielewa!, ukweli utafahamika tu!
 
Lile tamasha lake la Amani biafra la kulaani maandamano ya CDM mbona linamgeuka tena....

Kweli ukilaani nawe Utalaaniwa...
 
Kumbe jamaa passport aliyonayo ni ya kidilomasia na amepewa na Museveni mwenyewe na ni balozi wake! Baada ya kuinyang'anya akamshinikiza hampi passport mpaka afanye show next sunday,

Aibu sana kwa sanaa yetu nchini! Chamilion ameshapaa asubuhi leo na alikuwa show ya MTN jana ya 200,000 USD! Wanasheria walishafika hapa tz tangu jana kusimamia maslahi yake!
 
Back
Top Bottom